hayo maboya namba tatu hapo yameachia gape kiboya sanaKabla hamjaingia kwenye league na wanaume ,mmeoma fixture yenu hii TT mwenyewe mbele anaona Giza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2048290
Aiseee humu kuna nzi wamejaa Sana[emoji23] sasa ndo nn hiiTangu Sancho atutoe bikra, sasahiv kila mwanaume anayepita mbele yetu tunamfunulia papa
Huo ndo ukweli unaoumiza unajiita title contender unashindwa kuifunga Manchester United mbovu kabisa ambayo ilifungwa 5 na liverpool na man city akajipigia wewe upo kwako unaomba kusuruhu tena kwa penalty ya mchongo, unashindwa kumfunga Everton tena aliyechezesha vitoto vya academy,Aiseee humu kuna nzi wamejaa Sana[emoji23] sasa ndo nn hii
yani hujakosea kiongozi ile everton ni almost Academy youngsters...we ona sports news wanasema "CHELSEA left in a sticky mess by YOUNG TOFFEES"Huo ndo ukweli unaoumiza unajiita title contender unashindwa kuifunga Manchester United mbovu kabisa ambayo ilifungwa 5 na liverpool na man city akajipigia wewe upo kwako unaomba kusuruhu tena kwa penalty ya mchongo, unashindwa kumfunga Everton tena aliyechezesha vitoto vya academy,
wale jamaa wagumu sio wa mchezo kabisa...nilishangaa sana ile high level of defense waliyoionyesha na hapo LIVER NA CITY wanafwd kali ujue ila ilikuw mbinde sio ya kawaida...waombe mungu kina LUKAZIGO wawe wamerudi maana kwa uchezaji wa kina Pulsic na ziyech Hawawezi toboa ule ukuta kizembe.Mkuu hiyo mechi tayari chelsea anafungwa hiyo.
Haiitaji mjadala .
EPL si mchezo yani hadi kumalizika game za hii december ndo itajulikana kiuhalsia wanaochallenge TITTLE ni kina nani.Mkuu hao hawana wachezaji wa kuwapa ubingwa.
Timu ni ya kawaida tu hiyo, kocha huyo msimu ujao watamtimua alikuwa anafikiri Epl ni ligi ya timu moja eti timu ziogope kukutana nae.[emoji3].
kiuhalisia fixture zimebana sana...ila nachoona hapo kwa chelsea hali si shwari mwepesi hapo labda brighton maana hao villa na wolves shughuli yao tulishaiona ni hatariii. iyo game na spurs vs liver nayo ni chafu maana hao jamaa wameshapumzika vya kutosha hawajachez mechi 3 hivyo players wa spurs hawana fatigue kabisa compared to liver hii game si ya kukosa kuitazama hii pia tukumbuke saiv coach wa spurs si Nuno tena ni conte(mzee wa michezo michafu) so won't be easy.Kabla hamjaingia kwenye league na wanaume ,mmeoma fixture yenu hii TT mwenyewe mbele anaona Giza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2048290
Unataka aumieje Sasa ,atoke uwanjan analia [emoji1787][emoji1787]ZIYECH anacheza timu kama ya babayake yaani yeye mshinde/ mfungwe haumii
Mkuu unaumia sana pole ila sizani kma mpira uko hivyo unavooona na utakavyo wwe mkuuu punguza kuogopa inzi wa JF utakuwa huru sanaTULIKUA TUNATEGEMEA BEKI NDO ZIFUNGE MAGOLI HUKU WASHAMBULIAJI WETU WAKIWA WAMELALA ,TENA KUNA KUBWA JINGA TUMELINUNUA KWA 100M ,BEKI ZINATUMIA NGUVU MALA MBILI KUSHAMBULIA NA KULINDA.
Hamna mzee huku mtaani watu tulishajiaanda kulipokea kombe mwakani lakini city na liver na wanatuacha mdogomdog kuja kushtuka umeachwa point 15 na nafasi ya 4 itaanza kuwa ya kugombaniaMkuu unaumia sana pole ila sizani kma mpira uko hivyo unavooona na utakavyo wwe mkuuu punguza kuogopa inzi wa JF utakuwa huru sana
Mkuuu majeruhi yametuumiza sana ngola na kovac kuuumia hapo tukatoka mchezoniHamna mzee huku mtaani watu tulishajiaanda kulipokea kombe mwakani lakini city na liver na wanatuacha mdogomdog kuja kushtuka umeachwa point 15 na nafasi ya 4 itaanza kuwa ya kugombania
Kwako wewe team bora ni ipiKwani lengo la kuwa uwanjani ni ball possession,short on target na short of target?
Huwa hatujari mchakato,Tuna angalia Final results.
Swala la bahati haikuwa yako,BAHATI HUENDA KWA WALIO JIANDA.
Swala la sijui tulifanyejee,injury,kocha lakini ndo ivyooo... NI KUTAFUTA VISINGIZIO NA VIJISABABU TU.
KUBALI TIMU NI MBOVU,NDO UWEZO WAO WA MWISHO ULIPO ISHIA,
Tuongelee na washambuliaji wetu ,sio wakatili mbele ya goal naona mount peke yake ndo ameludi on form ,tunafanya attempts nyingi lakini atufungi magoalMkuuu majeruhi yametuumiza sana ngola na kovac kuuumia hapo tukatoka mchezoni
Anahisi hao walio juu yetu ni malaika hawatelezi,Mkuu unaumia sana pole ila sizani kma mpira uko hivyo unavooona na utakavyo wwe mkuuu punguza kuogopa inzi wa JF utakuwa huru sana
Du kweli mkuu ila tutarudi tu kwenye form yetuTuongelee na washambuliaji wetu ,sio wakatili mbele ya goal naona mount peke yake ndo ameludi on form ,tunafanya attempts nyingi lakini atufungi magoal
Ndio hapo halafu mie naona kma jamaa presh za JF ZINAMCHAMGANYA SANAAnahisi hao walio juu yetu ni malaika hawatelezi,
Na wengi humu wako hvyo,ukiangalia man city,bayern,liverpool,kuna muda wanabanwa na viteam vidogo mpka unashangaa,PSG ina ule utatu mtakatifu inakufa mbele ya kiteam kulichopewa na mhindi odds 15...Wanakuja kushangaa chelsea inayofundishwa na benitez kumdindia chelsea,wanadhani benitezi ni seleman matola..wanadhani labda moyes ni Ni cedric kaze,wao hawajui kuwa makocha hao wanatumia muda mwingi kuharibu mbinu za mpinzaniNdio hapo halafu mie naona kma jamaa presh za JF ZINAMCHAMGANYA SANA