PuumbaSiku mliyoshinda goli nne dhidi ya juventus nilikuja kuwaambia humu kuwa juventus sio kipimo halisi cha kujiona mnatisha ulaya nzima kutokana na juve kushuka kiwango lakini mkanivamia mara ooho sijui mpira mara ooho wivu utakuua. Timu yetu inaogopwa na kila timu.
We badi mtoto hujui mpira... Kunguni weee....Wewe kenge wapi nimesema watakutana ....!
Namaanisha hata huko mbele robo final ,semi final tukutane nazo tu ...baada ya kuona mnamuogopa buyern [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hata Mimi siwezi bishana na kilaza Kama wewe ambaye hujitambui ....
Bayern tunamng'oa wala hatoamini... Timo Werner ameanza kupiga moves za hatari hatari...Jumatatu sio mbali aisee ,subili mkutane na buyern Munich [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aasa kwenye hiyo picha uliyopost umeona kuna liverpool au bayern munich...Mkuu wewe ni fala kweli ,huko shuleni huwa mnasomea Nini mpaka sentesi ya maneno hayo matano huwezi kuelewa kudadeki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2037942
Wale woote waliomuona Lukaku anafaa ni kenge kuzidi wewe, sasa kama wewe unajua hivyo si ungekuwa hata techn ical director wa Lipuli FC ukawasaidia kutoshuka daraja??Watu walikuwa wanakushangaa kipindi kile unaponda usajili wa Lukaku (Sasa naamini Toney alikuwa mbadala mzuri na kwa bei nzuri), sa ivi naona washaanza kuelewa.
Ni kweli Lukaku ana stats nzuri za ufungaji lkn ni mzigo. Jamaa technically ni mbovu, footwork mbovu, control chumba na sebule. Hawezi kucheza kwenye tight space.
Hapana shaka kwamba atafunga ila atawakera sana kuliko hayo magoli yake😅😅😅
Hapana ndg. kukosekana kwa strategic players kumetuadhiriKuna wakati acha ukweli ubaki kuwa kweli naanza kuamnini kuwa kikosi chetu huenda tulikuwa tunashinda kwa morari tu basiii sare ya 3 kwa 3 kweli unategemea nn
Unazidi kuonesha ukilaza hadharani mkuu ,embu kalale [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aasa kwenye hiyo picha uliyopost umeona kuna liverpool au bayern munich...
Wewe bado akili huna....
we toka lini demu ukajua mambo ya mpira.Unazidi kuonesha ukilaza hadharani mkuu ,embu kalale [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wapi nimesema man city atakutana na Liverpool au buyern kwenye draw ya 16 bora ...
Mimi nimesema pindi wakikutana kwenye michuano ya CL in general Sasa jitu umekaza fuvu Kama makande ya edaru ...!
Una hasira sana mkuuWale woote waliomuona Lukaku anafaa ni kenge kuzidi wewe, sasa kama wewe unajua hivyo si ungekuwa hata techn ical director wa Lipuli FC ukawasaidia kutoshuka daraja??
Exactly kama tunavyo fanya liverpool huwa hatusajili ovyo [emoji16][emoji16]Una hasira sana mkuu
Mpira ni mchezo wa wazi, kila mtu anaona kinachofanyika uwanjani.
Hao waliomuona Lukaku anafaa ndo hao pia waliona Barkley na Werner wanafaa.
Kubali kataa, kukosea kupo mkuu!!
Kama unakumbuka vzr priority yenu ilikuwa Haland, alipokosekana ndo mkamchukua Lukaku
Prof. Ralf Rangnick anasema ukishindwa kusajili wachezaji sahihi, ni heri kutokusajili kuliko kusajili wachezaji ambao siyo sahihi
Wewe utafika wapi .....Alafu man city msitishe watu kwamba nyinyi ni bora kuliko tim yoyote ile na UCL hamfiki popote si tupo hapa?
Tatizo wachezaji wenu hawajui kupiga pass[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]lukaku anatumia nguvu nyingi Kama makirikiri kutuliza tu mpira ...achilia mbali kupiga chenga ....Yule kenge ata kutuliza mpira hajui
True[emoji117] Unajua kuna mashabiki wenzangu mnafanya masihara kukosekana kwa Kante & Kovacic kikosini.
[emoji117] Hawa jamaa ni uti wa mgongo wa timu, hawa jamaa ni msingi wa ubora wa safu ya ulinzi na ushambuliaji.
[emoji117] Hawa jamaa wanatembea na mpira uwanjani sio mchezo, hakuna kiungo ya timu pinzani itapenda kukabiliana na Kante/Kovacic, kwani wameshikilia asilimia 70 ya kutoa clean sheet na asilimia 50 za kufunga magoli.
[emoji117] Kante/Kovacic wanakaba, wanaziba njia, wanapora mipira, wanashambulia kwa kasi ya hali ya juu.
[emoji117] Jog, Cheek & Saul sio Kante wala Kovacic, tutawalaumu sana, tutuwalaumu mabeki, tutawalaumu makipa lakini
[emoji117] Bila uwepo wa Kante/Kovacic, kiungo yetu inajeuka kituko, njia ya walanguzi, Jog anakuwa comfotable kumiliki mpira na kutuliza timu kama Kante anafanya kazi ya msingi ya kukaba na kupora mipira.
[emoji117] Zile clean sheet kwenye mechi 12 hazikuja bahati mbaya Kante/Kovacic walikuwa wanaulinda ule ukuta nyuma yao. Wanazima mashambulizi kabla hayajafika kwa mabeki.
[emoji117] Madirisha ya usajili yajayo kuna ulazima wa kumsajili kiungo mkata umeme wa kusaidiana na Kante na Kovacic. Usajili wa SAUL ulikuwa wa kukurupuka, hasaidii chochote kwenye hili janga la majeruhi.
Una hasira sana mkuu
Mpira ni mchezo wa wazi, kila mtu anaona kinachofanyika uwanjani.
Hao waliomuona Lukaku anafaa ndo hao pia waliona Barkley na Werner wanafaa.
Kubali kataa, kukosea kupo mkuu!!
Kama unakumbuka vzr priority yenu ilikuwa Haland, alipokosekana ndo mkamchukua Lukaku
Prof. Ralf Rangnick anasema ukishindwa kusajili wachezaji sahihi, ni heri kutokusajili kuliko kusajili wachezaji ambao siyo sahihi
Kama Mancity na PEP wanataka UCL waache kuweka priority EPL, makombe haya mawili mahitaji yake ni makubwa kwenye kuchosha wachezaji na hivyo ni Manure tu walibahatika kubeba EPL na UCL mwaka 1999. Hakuna tena timu nyingine na ikitokea ni bahati sanaAlafu man city msitishe watu kwamba nyinyi ni bora kuliko tim yoyote ile na UCL hamfiki popote si tupo hapa?
Kwan kikosi kilekile kilichoanza na juve ndo km hicho cha Jana?....we chalii acha chuki[emoji23]Siku mliyoshinda goli nne dhidi ya juventus nilikuja kuwaambia humu kuwa juventus sio kipimo halisi cha kujiona mnatisha ulaya nzima kutokana na juve kushuka kiwango lakini mkanivamia mara ooho sijui mpira mara ooho wivu utakuua. Timu yetu inaogopwa na kila timu.