MapangoniSiku mliyoshinda goli nne dhidi ya juventus nilikuja kuwaambia humu kuwa juventus sio kipimo halisi cha kujiona mnatisha ulaya nzima kutokana na juve kushuka kiwango lakini mkanivamia mara ooho sijui mpira mara ooho wivu utakuua. Timu yetu inaogopwa na kila timu.
Mshabiki mwenzenu aliona dalili mbaya akataka kufunga na kusali ili asijepangiwa Bayern. Sasa mnasema mnaogopwa ulaya nzima kuchangamsha genge tu kumbe kiuhalisia mnamuogopa BayernMpaka chelsea inachukuwa champion league msimu uliopita kwani ilikutana na timu zipi
Bakuli mtafunga nyie wenyewe naona mmoja mmoja akili inaanza kumkaa sawa.Funga bakuli
Sasa Kama unamkwepa Bayern halafu unataka uchukue kombe unategemea Nani akusaidie kumfunga?Mshabiki mwenzenu aliona dalili mbaya akataka kufunga na kusali ili asijepangiwa Bayern. Sasa mnasema mnaogopwa ulaya nzima kuchangamsha genge tu kumbe kiuhalisia mnamuogopa Bayern
Beki matic [emoji1787]
Ili uwe bingwa timu Kama hizo hazikwepekihili litimu ni takataka kabisa jiandaeni kukutana na bayern sasa aina namna.
Kuna wakati acha ukweli ubaki kuwa kweli naanza kuamnini kuwa kikosi chetu huenda tulikuwa tunashinda kwa morari tu basiii sare ya 3 kwa 3 kweli unategemea nnFunga bakuli
Punguza ujuaji... siyo kwa sababu unacheza na yoyote then ndio utamani kupangiwa na yeyote....Mshabiki mwenzenu aliona dalili mbaya akataka kufunga na kusali ili asijepangiwa Bayern. Sasa mnasema mnaogopwa ulaya nzima kuchangamsha genge tu kumbe kiuhalisia mnamuogopa Bayern
Hiyo timu iliyocheza ulitaka ishinde goal ngapi?Kuna wakati acha ukweli ubaki kuwa kweli naanza kuamnini kuwa kikosi chetu huenda tulikuwa tunashinda kwa morari tu basiii sare ya 3 kwa 3 kweli unategemea nn
Washabiki maandazi hao kaka,yaani haoni utofauti wa chelsea yenyewe na hii,Hiyo timu iliyocheza ulitaka ishinde goal ngapi?
Hivi mmeshaangalia match hata za moja ya Carabao kweli?
Plus mliangalia ile match ya kwanza ya zenit vs chelsea?
Kiroba cha kilo 200[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lukaku ni takataka sana
AjaxTumemaliza wapilli katika kundi letu.
Hatua ya 16 huenda tukakutana na mmoja wa wafwatao
Ajax
Real madrid
Bayern
Na mshindi wa kundi G(salzburg/lille/wolfsburg/sevilla)
Jana Werner amewasha japo sijaangalia match...Hawa wachezaji wakiwepo kikosini, tutaifunga timu yoyote hapo juu.
Chilwell --- Jorgi --- kante ---James
---- Rudger --- Silva -- Chalobah ---
SUB:- Kovacic, Christensen, Azipi, Alonso
Mshindwe wenyewe kwenda robo,Ajax
Real Madrid
Bayern
Lille
Tujichagulie hapo....