kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,179
- 21,832
Tuombe majeruhi warudi na wawe fit haraka, itaongeza uhakika wa kushinda mechiPamoja na kufungwa na West Ham bado nina imani na Timu yangu Chelsea. Juzi baada ya mechi niliandika asiyekubali kushindwa si mshindani.
Mpira ni mbinu mwenzako akikuzidi mbinu anakufunga tu tena kilaini kabisa. Chelsea tulicheza vizuri ila ni makosa ya wachezaji ndiyo ilipelekea tukafungwa magoli matatu.
Chelsea bado timu nzuri EPL. Siku zote hakuna anayefurahia maendelea ya mwingine. Chelsea kwa miaka 10 currently imeachieves pakubwa sana. Na hii ndiyo inapelekea wapinzani kuionea gele.
Chelsea ndiyo timu pekee uingereza inayochukiwa uingereza mzima na hii imepelekea adi mashabiki wa nje ya uingereza kuichukia timu yetu. Sababu kuu ni ACHIEVEMENTS. Hakuna timu pinzani inapenda kuona chelsea kukaa top of the league. Hii ni kwasababu wanajua mziki wa Chelsea inapokuwa juu ya ligi.
Naamini mwalimu Tuchel mbinu haijamuishia. Next match we will bounce back and w’ll take the leads once again.
Binafsi sinaga muda wa kumlaumu mchezaji fulani kafanya nini lakini kwa mechi ya juzi Jojinyo ndiyo disaster. Kulikuwa hakuna sababu ya kurudisha mpira nyuma wakati kuna mpizani. Ametukost kwenye mechi mbili muhimu ya Man u na ya juzi. In another side mendy hakuwa kwenye form since afungwe na man u.
But all in all nawatakia kila la kheri pambano letu la kesho dhidi ya zenit then Leed united.
Chelsea foreva[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Kicheko cha Moyes ni kuifunga kwa kubahatisha timu kubwa kama Chelsea, Lazima hata Manure walifurahia droo. Tutafika tu. Mwisho wa siku mahesabu ndio muamuzi mzuri
Leo tunacheza 433Vs Zenit PT
Twende na 3 - 5 - 2
------------- Werner ------------- Lukaku -----------
Alonso - Mount-- Cheek -- Barkley -- James
------- Rudger ---- Christensen --- Azipi ----------
[emoji117] Mwendo wa mashambulizi ya counter attacks.
Vs Zenit PT
Twende na 3 - 5 - 2
------------- Werner ------------- Lukaku -----------
Alonso - Mount-- Cheek -- Barkley -- James
------- Rudger ---- Christensen --- Azipi ----------
[emoji117] Mwendo wa mashambulizi ya counter attacks.
3-4-3 huwa haina CDMNaona mmeamua kucheza bila pure CDM leo
Acha nione ufundi wa Tuchel leo
Line up ya mara ya kwanza ilionyesha mnacheza 4-3-3... Naona sa ivi imebadilika3-4-3 huwa haina CDM
Waje tuuDah hivi kweli tunakaa tunaanza kuomba dua tusipangwe na Bayern Munich?
Maana kuna kila dalili ya hilo kutokea...
Siku mliyoshinda goli nne dhidi ya juventus nilikuja kuwaambia humu kuwa juventus sio kipimo halisi cha kujiona mnatisha ulaya nzima kutokana na juve kushuka kiwango lakini mkanivamia mara ooho sijui mpira mara ooho wivu utakuua. Timu yetu inaogopwa na kila timu.Dah hivi kweli tunakaa tunaanza kuomba dua tusipangwe na Bayern Munich?
Maana kuna kila dalili ya hilo kutokea...
Mpaka chelsea inachukuwa champion league msimu uliopita kwani ilikutana na timu zipiSiku mliyoshinda goli nne dhidi ya juventus nilikuja kuwaambia humu kuwa juventus sio kipimo halisi cha kujiona mnatisha ulaya nzima kutokana na juve kushuka kiwango lakini mkanivamia mara ooho sijui mpira mara ooho wivu utakuua. Timu yetu inaogopwa na kila timu.
Na ndo Mana hayupo Norwich [emoji1]Huyu bakari hata ukimpeleka Norwich hapati namba