Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,522
- 14,861
Hatukushinda bali tumechana mikeka yenu, hilo tu ndio limeninogea.Shangilieni maana jana mmeshinda
Messi hakustahili kwa vigezo vya individual performance na performance ya kuiwesesha timu yake kupata mafanikio ambazo ndizo vigezo vikuu vya kushinda hiyo tuzo
Mabingwa wa UEFA, CONMEBOL, CONCACAF, AFC, CAF na OFC ndio watakaoshindanaKwa hyo Samuel unataka kuniambia duniani hizo ndio club bingwa wengine ni club za pombe?
| Team | Confederation | Qualification route |
|---|---|---|
| Palmeiras | CONMEBOL | Copa Libertadores winner |
| Chelsea | UEFA | UEFA Champions League winner |
| Al Hilal | AFC | AFC Champions League winner |
| Al Ahly | CAF | CAF Champions League winner |
| Monterrey | CONCACAF | CONCACAF Champions League winner |
| Auckland City | OFC | Nominated by OFC |
| Al Jazira | AFC | Hosts |
Ila na nyie mnafeli sana man u hii ni ys kujipigia hamuoni wenzenu wanavyofanyaShangilieni maana jana mmeshinda
Nyie jamaa hamueleweki, si mnasema chelsea ya sasa haitegemei mtu mmoja kufunga? Mlitamba hata mendy atafunga mara mshabadilika mnasema kule front line kuna shidaShida ya chelsea ni umaliziaji na hili ndio tatizo sugu tangu TT aichukue timu inafika kipindi mpaka forward zina goli chache kuliko mabeki unakuta hata timu ikipata ushindi lakini imekosa chance nyingi
Ana goli ngapi za mashindano yote katika mechi sita zilizopita alizocheza kabla hajaumia?Aliyekwambia chelsea inawategemea hao uliowataja huko mbele ni nani? Chelsea kule mbele yupo mzee mzima lukaku jitu la miraba minne
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji438] Breaking NEWS
Man beats wife for calling him Timo Werner
A 43 year old Chitungwiza man was arrested this morning for brutally assaulting his wife for calling him Timo Werner. Nathan Hungo was detained for assault and domestic violence. When asked why he did such a cruel act Hungo said, 'Anga anditi Timo Werner' (She had likened me to Timo Werner)
Timo Werner is a Chelsea striker who has popularly became a symbol of uselessness among football fans and being likened to him angered Hungo. His wife confirmed that her husband had never behaved violently before in their 17 year marriage.
Mkuu ana magori 0 ...!Ana goli ngapi za mashindano yote katika mechi sita zilizopita alizocheza kabla hajaumia?
M nilikuquote khs ishu y wachezaji wa Chelsea kutohudhuria ugawaji WA tuzo liveMessi hakustahili kwa vigezo vya individual performance na performance ya kuiwesesha timu yake kupata mafanikio ambazo ndizo vigezo vikuu vya kushinda hiyo tuzo
Chelsea ana magoli mengi ya kufunga na kufungwa machache ww unaefunga unamagoli mangapi au unakaza fuvu?Mkuu ana magori 0 ...!
Kwa chelsea hio ni namba kubwa Sana ya magoli
Yaani ukipita December bado unaongoza ligi una 60% ubingwa wakwakoCity:- anayo advantage ya kikosi kipana.
Liverpool: Waombe Mungu ile frontline yao wasipate majeruhi.
The Blues:- Sasa hivi tunayo changamoto ya wachezaji wetu kupata majeruhi mara kwa mara, haswa kwenye maumivu ya MISULI.
Mungu saidia Jog, Kante, Kovacic, Alonso, Pulisic, Rudger, James wavuke December salama.
Hapo Kati tumepigwa11 yetu hiiView attachment 2029712
SaulHapo Kati tumepigwa