Lukaku acheze kama boya, waandaliwe wafungaji wengine, wao wakimkaba Lukaku wawili watatenegenza nafasi ya kufunga kirahisiMaoni yangu dhidi ya Juve
Ili tumpige Juventus inabidi kocha aendelee nampango wakucheza bila striker kwasababu gani? Game ya kwanza walituwini cos plan yao ilikuwa nikumkaba Lukaku na bahati mbaya Chelsea mipira Mingi ilikuwa inapigwa kwenye box ambapo Lukaku inamkuta akiwa amekabwa na wachezaji wawili mpaka watatu tukija kwenye swali langu kuu kwanini game ya leo Chelsea icheze bila natural striker ingawa report zinasema Lukaku amerudi.
Faida ya kutokuwa na natural striker ni kuwa mabeki wa Juventus watashindwa kujua yupi wa kumkaba kutokana na movement za Ziyech, Pulisic watakazokuwa wanafanya lakini pia itaacha nafasi kwa watu kama Reece James, odoi na Benchilwell kupita kwa maana nyingine ina unlock defence nzima ya Juventus.Baadae ndio kocha anatakiwa amuingize Lukaku kama mambo yatakuwa magumu lakini kwamaana ya kuanzishisha first eleven Lukaku asianze kutokana na majitaji ya mechi na aina ya mpinzani mwenyewe.
lembu
Antonio Conte
Cash Money Forever
Exactly hata ambangile alisema hichi kitu kwenye uchambuzi leo asubuhiMaoni yangu dhidi ya Juve
Ili tumpige Juventus inabidi kocha aendelee nampango wakucheza bila striker kwasababu gani? Game ya kwanza walituwini cos plan yao ilikuwa nikumkaba Lukaku na bahati mbaya Chelsea mipira Mingi ilikuwa inapigwa kwenye box ambapo Lukaku inamkuta akiwa amekabwa na wachezaji wawili mpaka watatu tukija kwenye swali langu kuu kwanini game ya leo Chelsea icheze bila natural striker ingawa report zinasema Lukaku amerudi.
Faida ya kutokuwa na natural striker ni kuwa mabeki wa Juventus watashindwa kujua yupi wa kumkaba kutokana na movement za Ziyech, Pulisic watakazokuwa wanafanya lakini pia itaacha nafasi kwa watu kama Reece James, odoi na Benchilwell kupita kwa maana nyingine ina unlock defence nzima ya Juventus.Baadae ndio kocha anatakiwa amuingize Lukaku kama mambo yatakuwa magumu lakini kwamaana ya kuanzishisha first eleven Lukaku asianze kutokana na majitaji ya mechi na aina ya mpinzani mwenyewe.
lembu
Antonio Conte
Cash Money Forever
Inasemekana Lukaku leo ataukosa huu mchezo lkn pia huenda Werner atarejeaLukaku acheze kama boya, waandaliwe wafungaji wengine, wao wakimkaba Lukaku wawili watatenegenza nafasi ya kufunga kirahisi
Predicted line up 3-4-2-1Inasemekana Lukaku leo ataukosa huu mchezo lkn pia huenda Werner atarejea
Nazani ataanza Ziyech badala ya mountPredicted line up 3-4-2-1
------------------------------------Werner------------------------------------
-----------Pulisic -------------------------------------- Mount------------
Chilwell ---------- Jorginho -------------Kante ------------ James
Rudiger ------------------------Silva --------------------Christensen
------------------------------------Mendy------------------------------------
Inabidi nicheki kipindi kupitia channel ya youtube yao maana Mzee baba nilikuwa busy kidogo sikubahatika kusikiliza sportsarenaExactly hata ambangile alisema hichi kitu kwenye uchambuzi leo asubuhi
TT azidi kumpa nafasi ya kucheza bwana mdogo ODOI, dogo anazidi kuimarika kila siku aisee.
Cholobah dogo haitaji tena introduction, yuko vizuri sana. Nafurahi captain wetu Azipu anapata muda wa kupumzika kulingana na umri wake.
Leo tunambangua Juve 2-0, waliniudhi sana mechi ya kwanza, tulicheza vizuri halafu wao wakabeba point zoteLine Up ya Leo 3-4-2-1
------------------------------------Pulisic------------------------------------
-----------Odoi-------------------------------------- Ziyech------------
Chilwell ---------- Jorginho -------------Kante ------------ James
Rudiger ------------------------Silva --------------------Chalobah
------------------------------------Mendy------------------------------------
Acha ushabiki wa simba na yanga mkuuu mpira haujachezwa ww unamatokeo yakoLeo tunambangua Juve 2-0, waliniudhi sana mechi ya kwanza, tulicheza vizuri halafu wao wakabeba point zote
Kwani hapa tuko kwa lengo lipi?Acha ushabiki wa simba na yanga mkuuu mpira haujachezwa ww unamatokeo yako
KaumiaKante katoka dk ya 37 kaingia RLC sijui shida ni nini?