Kwenye Pre-season huyu dogo alikuwa anachezeshwa kiungo Cha chini na TT nazani hapa ndio alipomkosea huyu dogo hata Lotfus Cheeck pia kuwekwa kiungo Cha chini si sehemu yake japo anakiwasha siku TT akajiroga akampanga kiungo Cha juu ndio atajua utamu wakeIn the first place hii sio analysis
In the second place endelea kupuuza kwa sababu hutakaa unielewe na hata hivyo kwani maoni ya kila mtu unafuatilia, so what?
3-0 james kapiga mawili, moja ni Jorginhooyaa tumeshinda ngapi ..nilikuwa shamba..
CFC 💙💙💙
Daah noma Sana mkuu on top of the table ..Yale makuku nasikia yametowa draw na madogo wa Brighton 😂😂😂😂3-0 james kapiga mawili, moja ni Jorginho
bila goli wale majamaa wasingefungukaJames kafanya mechi iwe rahisi kwetu,bila kufunga goli la kuongoza...Newcastle walianza kufunguka kwenda mbele kwa haraka
uzuri wa Chelsea hawamtegemei mchezaji mmoja au wawili yeyote anafungaDaah noma Sana mkuu on top of the table ..Yale makuku nasikia yametowa draw na madogo wa Brighton 😂😂😂😂
Tukumbushane maana mwezi ndio umeisha ivoo na hatujapoteza game yoyote Chelsea Fans & Haters what's ur thoughts ndan ya November?Hiyo ndiyo ratiba yetu ndani ya mwezi wa kumi (October)
Jumamosi tarehe 2
Chelsea 🆚 Southampton (ligi kuu England)
Jumamosi tarehe 16
BrentFord 🆚 Chelsea (ligi kuu England)
Jumatano tarehe 20
Chelsea 🆚 Malmo (Uefa Champions League)
Jumamosi tarehe 23
Chelsea 🆚 Norwich (Ligi kuu England).
Jumanne tarehe 26
Chelsea 🆚 Southampton (Carabao Cup).
Vipi unaunaje huu mwezi tutakwamia wapi kwenye ligi mwezi ulioisha tulidondosha point mbili kwa Liverpool nahisi ndo point moja iliyokua na manufaa zaid mwezi huu na tulidondosha tatu zote kwa City lakini mwezi umeisha tukiwa nafas ya tatu kwangu mimi mwezi wa kwanza wa ligi tumewin,
Carabao cup kwa tabu sanaa tulifanikiwa kuingia robo fainali ambayo tumepangiwa na Southampton ipi nafas yetu kwenye Carabao mwezi huu? Kwagu mimi mwezi uliopita Kwenye Carabao tumewin,
Champions League Mwezi uliopita tulidondosha Point kwa Juventus hali ya hewa ikachafuka lakini mwezi umeisha tukiwa nafas ya 2 baada ya game mbili, Kwa mwezi uliopita pia naona tumewin Kwan tuna uwezekano mkubwa wa kusogea mbele
Mwezi uliopita ulikua ni mwezi wenye ratiba ngumu sana kwetu lakini tumefanikiwa kupata matokeo chanya zaidi huu mwezi mbona kama sioni tukipoteza game yoyote?
Hawezi onekana yule mbwa[emoji1787]Hivi Mara ya mwisho kumuona pain killer humu ilikuwa mwaka gani!?
Hahaaa
Ole anawapatia sana nyinyi nyumbu... Naona jana alikuwa anapuliza.Kosi la dunia, kosi la sayari yake yn hakuna kosi kama hili kwa dunia ya sasa, zilikuwepo Ac Milan, ikaja Man Utd, ikaja Barca, haikutokea tena mpaka sasa ni Man Utd tena, yani hapo nje kuna mafundi kibaooo, kosi kama kosi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1992961
Mtakubali tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bila kupepesa macho ,ni mapema lakin hili kombe upepo unaeleka kwa Chelsea ....
Game ya Liverpool ...
Game ya Brentford ....
Ni miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha Safari ya bingwa...
Bahati inawabeba kenge nyie .....
Na nyie katengenezeni bahati yenu iwabebe.[emoji16][emoji16][emoji16]Bila kupepesa macho ,ni mapema lakin hili kombe upepo unaeleka kwa Chelsea ....
Game ya Liverpool ...
Game ya Brentford ....
Ni miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha Safari ya bingwa...
Bahati inawabeba kenge nyie .....
Habari ndiyo hiyo, Chelsea wako moto sanaNa nyie katengenezeni bahati yenu iwabebe.[emoji16][emoji16][emoji16]
"Bahati inawabeba kenge nyie" wala si sisi Chelsea FC(Mabingwa wa Ulaya) mwisho wa kunukuu...[emoji28]Bila kupepesa macho ,ni mapema lakin hili kombe upepo unaeleka kwa Chelsea ....
Game ya Liverpool ...
Game ya Brentford ....
Ni miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha Safari ya bingwa...
Bahati inawabeba kenge nyie .....
Man City kuifunga Chelsea walibahatisha sana, tukikutana tena tutawakomehsa mazima na TT akaacha kuja na falsafa ya kujihami tutawatundika kweli kweliNa nyie katengenezeni bahati yenu iwabebe.[emoji16][emoji16][emoji16]