mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Acha kupotosha...hao ni wamiliki wa club..na siyo club tajir dunian....unataka kuniambia Newcastle as a team ni matajir kuliko real Madrid?The richest clubs in the world:
400 billion [emoji383] Newcastle
260 billion [emoji383] PSG
25 billion [emoji383] Man City
18.5 billion[emoji383] Leipzig
18.5 billion[emoji383] Salzburg
16.5 billion [emoji383] Juventus
12 billion [emoji383] Chelsea
10 billion [emoji383] LA Galaxy
8 billion [emoji383] Arsenal
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji736]Kichwa cha habari haiendani na ukweli
Ungesema The club with a richest owner in the world, japo Newcastle take over bado
Richest Football Clubs (2021):
- Real Madrid - $896 million
- Barcelona - $815 million
- Manchester United - $795 million
- Bayern Munich - $751 million
- Manchester City - $678 million
- PSG - $646 million
- Liverpool - $613 million
- Chelsea - $597 million
- Arsenal - $520 million
- Tottenham - $511 million
Kumbe kashauri pia, kocha auchukue huo ushauriLUKAKU:-
"The way I’m built – I’m quite big – everybody thinks I’m a sort of target man: just holding up the ball and being a goal poacher. But I’ve never played that way and I hate it.
My biggest strength is that I’m dangerous when I’m facing towards the goal, because that’s when I rarely make wrong choices.
"After I pass the ball, I know where I have to position myself in the box. I can do a bit of everything and in some games when I know there is a lot of space behind the defence, I play differently. The reason I’m so productive [in front of goal] is because I can do a bit of everything."
Sasa Lukaku akipass the ball to Mount, Mount harudishi pass kwa Lukaku anaishia kupiga shuti na kumbabua beki.
Ziyech akipewa pass na Lukaku anaishia kupiga mpira nje au kunyang'anywa.
Kwa kweli Lukaku huwa anaishia kunyoosha mikono mbele kulaumu kwa nini hukunipa pass hapa.
Mbaya zaid Paul Tierney atakua kwenye VARAnthony Taylor will referee Brentford vs Chelsea. #CFC
Mpango mzima wa kuishusha Chelsea pale juuMbaya zaid Paul Tierney atakua kwenye VAR
Vip wakiwa darajani wanatuhujumu auTimo na kai wa Germany ni tofauti kabisa na wale pale darajani
Kweli mkuu pendekezo lako je kwan Chelsea bord hawalioni hilo? Na je hawalijui hilo? Na je duniani hao creative wa kuwalisha hakuna?Hakuna wachezaji wa kuwachezesha, Werner, Lukaku wakienda pale Man city watafunga sana.
Inafikirisha sana Lukaku, Werner, Kai wakienda timu za taifa wanafunga kila mechi, wakirudi BLUES ukame wa magoli.
The bluea hatuna washambuliaji creative wanaowazunguka Lukaku & Werner. Hawa Ziyech, Mount, Barkely, Cheek wanalazimisha kucheza vitu ambavyo havipo.
Werner angewakuta hazard, Pedro, Willan, Fabrigas angefunga sana
Ishu ilikuwa sio kumsajili Lukaku aje kutatua changamoto ya kufunga magoli, bali ilikuwa kuziba mapengo ya hazard, willan, Pedro na fab.
Wakati CONTE anamtaka Lukaku, Hazard, fab, willan, Pedro walikuwepo, angetua wakati ule lingekuwa balaa zito.
TT pale mbele apange mifumo yote anavyojua, afundishe style zote za uchezaji, hawa Werner na Lukaku watastruggle sana kufunga magoli.
Solution ni kusajili creative attacking mildfliders and wings. Magap ya Hazard, Fab, Willan na Pedro yazibwe.
Mkuuu nimeuliza je Chelsea bord haoni hilo na je TT haoni anahitaji nn ili kukamikisha magoli mengi tena je pendekezo lako kiukweli mapengo ya hao watu bado kuzibika naunga hoja yakoBinafsi sina elimu ya ukocha wala sijawahi kucheza mpira mkubwa zaidi ya ule pale Old Moshi Secondary School vs majirani zetu Umbwe, Lyamungo, Moshi Tech kwa wakati huo [emoji23][emoji23]
Lakini nikiangalia mpira tunaocheza the BLUES naona tatizo liko wapi.
Mhh kwa zych na Odoi na log out mkuu hao hawezi kuwafika hao watu ha nusu yup mmarekani na nyama za sambusa hovyo zinavimbaPengine Bodi wana imani na Pulisic atapona ni Hazard mpya.
Pengine wanaamini Ziyech hajazoea EPL
Pengine wanaamini Mount ni next Lampard
Pengine wanaamini Odoi apewe muda ni next Willan
Kweli Ballon dor imekosa thamani, Mount anachomzidi ESR ni ufupi tu.Rudiger, Silva na Mendy kutowekwa kwenye hiyo list ni ukatili na uonevu, sijui hao wanatumia vigezo gani
On the other hand, Mount naona kaanza career yake vizuri sana, mwanga wake unag'aa mapema. Atafika mbali asipozimia moyo
Impact ya zyche kweli tena siioni ona ssa tulimuacha Erskine hao kwa sauli cheki hata pasi kijana wa watu anashindwa kupiga huenda muda ukifaka atakuwa mpya je RLC HUENDA AKARETA MAGEUZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanichekesha chief.
Hela ya mwarabu haijawahi kushindwa kitu, usijidanganye mkuu.Newcastle kununuliwa n tajiri sio lazima wafanye vizuri
Itategemea sana na mfumo wataoadapt pia na vision ya owners
Chelsea kilichowasaidia ni structure yake ya uongozi na viongozi wenye maono na kufuatilia maono na kuyaishi
Ziko timu zenye kum8ilikiwa na matajiri lakini zimeshindwa kutoboa
Wwe inaonekana hukuwa na bundle yaani taarifa ndio unaipata leo unaishi maporini ssa umekuja mjin kwa shemeji yako kuuza matikit ndio ukakutana na taarifa hyo Basi TUFANYE WAMTOE MAUNT WW MUWEKE LOKONGA SSA UFURAHIKweli Ballon dor imekosa thamani, Mount anachomzidi ESR ni ufupi tu.
Ukiacha swala la yeye BARKLEY kuonekana ni mchezaji wa mambo mengi na incosistence ....Ila czan km mount kamzidi Barkley kwenye suala la creativity kwenye final third ....RLC kashaanza kurudi mkuuChief ukiona timu yetu inaanza kuwategemea RLC, BARKELY, ODOI wakupe matokeo, hapo fahamu taa nyekundu imewaka.
Hahahaha kibongo bongo tungesema mo kashapenyeza rupiaVip wakiwa darajani wanatuhujumu au
??