juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Goal la newcastle dhid ya wolves hata var hawakwenda kuangalia na ukiangalia kipa alikuwa ameumiaVAR imeshikiliwa na wadau wa kamali wakubwa sababu faulo haikuwa na mantiki yoyote ukilinganisha na goli walilopata Wolves.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ile nafasi ya mount naona km alivyopokea pasi ilikuwa vigumu kumuona Lukaku alivyofungua ...Werner akicheza na lukaku atafunga magoal mengi tu, mabek wanakuwa busy na lukaku huku wakiachia nafas kwa werner.
Bado kuna kauchoyo flan kwa mount, kuna chance lukaku alikuwa ashafungua, mount akashoot badala ya kumpa lukaku
Umuhimu wa mount umeonekana baada ya kuingia kwenye kutafuta nafasi
Chilwell nahis hili goal litamjengea confidence yake,
VAR leo imetukatili hasahass kipindi cha kwanza
Hii game tulikuwa tunaimaliza 1st half km mwamuzi angekuwa yuko fair
Labda VAR inampango wa kumpatia kikombe cha EPL 2021/2022 Man City tena kwa mara nyingine au Liverpool [emoji2960]Goal la newcastle dhid ya wolves hata var hawakwenda kuangalia na ukiangalia kipa alikuwa ameumia
RLC anafaa kuanza kila mechi, ameimprove mmno kwenye dribling na kushambulia
Odoi anacheza vizuri sana tofauti na nilivyodhania, Chilwell naye anajitahidi kucheza vizuri
Timu yote inacheza vizuri, pamoja na kucheza vizuri, Rudiger alichelewa kidogo kumuhudumia Lukaku mpaka akaotea
Lukaku kaonyesha kuwa akipata mpira hafanyi makosa
Shukran Numbisa2nd goal. WernerView attachment 1960646
Injury ndio ziliwafanya viwango vyao vishuke, ukiwaangalia kabla hawajapata majeruhi jins walivyokuwa utaelewa, wakiendelea kupata dakika za kucheza, viwango vyao vitarudu tuRLC usije ukamzamini... Atacheza mechi moja nzuri... Atakuja tena kucheza vizuri baada ya michezo kumi kupita ...
Vile vile kwa odoi..hivi vitoto vya kiingereza ukivisifia tu... Lazimavikuchome..
Hivi vyotevya kuuzwa pamoja na barkley
Hivi ndio vitu tulivyokuwa tunalilia sio kila goli litakuwa la mipango mengine ni kuforce na kutake more risk
Hiyo pasi ya barkley kwa azpi aise nimeikubali2nd goal. WernerView attachment 1960646
Wakataka walichek var[emoji16][emoji16][emoji28]Hivi ndio vitu tulivyokuwa tunalilia sio kila goli litakuwa la mipango mengine ni kuforce na kutake more risk
unateseka ukiwa wapKilicho baki nikuomba muuwawe kifo kibad nyie cheltako.
drw itakua poa zaidCITY afungwe. Liver Tutapambana naye huko juu.
Asante mamie kwa hii kitu1st goal. ChalobahView attachment 1960405
Pasi ya kuombea mkopo hiiHiyo pasi ya barkley kwa azpi aise nimeikubali