Ata tufugwe goli 100 mm ni Chelsea damu na ninaipenda ki ukweli ukweli, hakuna alie nilazimisha ama kunishikia bunduki ili niipende hii klabu. Ni mapenzi yangu mwenyewe, ila Chelsea tuache masikhara kabisa. Januari inapaswa tuingie sokoni kusaka winga, tunakosa mawinga wa kuchekecha na kulazimisha beki za timu pinzani. Hivi Ziyech kawa vip jamani mbona simuelewi kabisa
Ila game ya jana Tuchel yeye ndio kazingua kabisa, muoga wa kufungwa anajaza mabeki kama wote
Ila pulisic anakula mshahara wa bureee tuseme ukweli. Hapo ndio uzuri wa mkataba. Ingekuwa huku kwetu huyo angekuwa anauza dengu au miwa kariakooWachezaji waliochoka ni watatu tuu:-
Azipi
Kante
Mount
Ziyech, Odoi, Kai, Werner:- wamechoka na nini?
Wamecheza mechi ngapi?
Ina maana wamecheza kwa muda mrefu kuliko ile front 3 ya Liverpool (Mane, Firmino, Salah), bandika Bandua mechi zote karibia misimu 5 mfulilizo?
Kai, Odoi, Ziyech, Werner na Pulisic majeruhi, tangu waingie kikosini huwa wanaingia na kutoka hawajawahi kucheza mechi mfululizo hata 10, huo uchovu unatoka wapi?
Wangekuwa kule Liverpool si wangekufa uwanjani aisee?
Tusingizie uchovu bali ni viwango vya wachezaji wetu kule mbele Ziyech, Odoi, Kai, Werner vimeshuka. Ndio maana mabao wala Asisists havipatikani.
Viwango vyao vingekuwa juu na matokeo yanapatikana huyo MOUNT aliyechoka, angepata muda wa kutosha kupumzika, badala yake kijana mdogo anaharakishwa kupona arudi uwanjani kuokoa jahazi.
Muda mwingine tunaongea kwa hasira kwa sababu tulishaandika msimu huu tunabeba EPL. Sasa wale vijana wetu kule mbele wanatupa hofu.
Inawauma eeh, pesa ipo kwa nini tuiache ioze, makombe yanapatikana kwa nini tuyaache makombe yaende kwa wenginePamoja na kupigwa £97mm za Rukaku bado unataka mrudi sokoni uwezi kuwa sirious
Hata huyo Hallaand angekuja kwa haina ya viungo wetu angepitia kama anavyopitia sasa hiv Lukaku kwa sababu wote aina moja wanaishi kwa service hiv umeona namna Hallaand anavyolishwa huko Dortmund labda ungesema Benzema ningekuelewa huyu ndio striker yupo tofauti na hao wawili style yetu angetufaa hata kama angekosa serviceLukaku ni suala la muda tu, pale tulipigwa za uso. TT alimtaka Halaand ama Lewandowski bodi ikampa Lukaku ndio nn sasa. Huyu kocha inabidi azinguane na bodi ili wakae sawa.
Duh[emoji23]Hivi next match TT akipanga kikosi kama mwanzo haiwezi kuamsha tena viwango vya kai, Ziyech, Werner, Mount?
Wakawajibika kuliko wanavyomtegea Lukaku now?
Werner - Kai - Ziyech/Mount.
Lukaku atokee benchi.
Kosa la Lukaku ni lipi ? Tangu kaja Chelsea kapata nafasi ngapi na kafunga ngapi?Ni suala la mda tu utaelewa ninacho maanisha
Dah nashangaa wanaomlalamikiaKosa la Lukaku ni lipi ? Tangu kaja Chelsea kapata nafasi ngapi na kafunga ngapi?
Conte kocha anayemjua LUKAKU vizuri kashatoa maoni yake, sasa tusikilize ya nani, ya kwako au CONTELukaku ni suala la muda tu, pale tulipigwa za uso. TT alimtaka Halaand ama Lewandowski bodi ikampa Lukaku ndio nn sasa. Huyu kocha inabidi azinguane na bodi ili wakae sawa.
Kipa hatuna shida tenaThe BLUES ya sasa hatuna Mchezaji kama Hazard wa ku-unlock defensive ya opponent, wala hatuna mchezaji wa kupiga mashuti nje ya box.
Inabidi TT aige mbinu za CONTE, tunapaki bus muda wote tunakuwa tunavizia counter tuu. (Werner na Lukaku).
Hakuna kwenda juu kumfuata mpinzani wala kushambulia akiwa amepaki bus bali tunamsubiri aje yeye. Tumfyetue risasi ya kichwa. [emoji23]
Wazo potofu mkuuu kisa nni? Mbona umewaza mbali game 2 kaka watu wamevurugwa ?Hivi next match TT akipanga kikosi kama mwanzo haiwezi kuamsha tena viwango vya kai, Ziyech, Werner, Mount?
Wakawajibika kuliko wanavyomtegea Lukaku now?
Werner - Kai - Ziyech/Mount.
Lukaku atokee benchi.
[emoji23]
Kweli Chelsea Fans ni hatar sana hakuna hata uvumilivuHata huyo Hallaand angekuja kwa haina ya viungo wetu angepitia kama anavyopitia sasa hiv Lukaku kwa sababu wote aina moja wanaishi kwa service hiv umeona namna Hallaand anavyolishwa huko Dortmund labda ungesema Benzema ningekuelewa huyu ndio striker yupo tofauti na hao wawili style yetu angetufaa hata kama angekosa service
Umeongea kitu kikubwa sanKosa la Lukaku ni lipi ? Tangu kaja Chelsea kapata nafasi ngapi na kafunga ngapi?
Hiv nyie watu mbona hamna uvumilivu Harvert nae auzwe Warner auzwe je mtabaki na wachezaji gani nyie hebu kuweni na uvumilivu kaaa nyie hao wakuimba mapambia kwa TT leo hafai kisa 2 game?Werner auzwe, Havertz auzwe may be overated, Odoi auzwe, anachelewa kukua,
Hata Lewandowsky ni kama Lukaku tu, usipompa huduma hakuna analofanyaHata huyo Hallaand angekuja kwa haina ya viungo wetu angepitia kama anavyopitia sasa hiv Lukaku kwa sababu wote aina moja wanaishi kwa service hiv umeona namna Hallaand anavyolishwa huko Dortmund labda ungesema Benzema ningekuelewa huyu ndio striker yupo tofauti na hao wawili style yetu angetufaa hata kama angekosa service
Ili tuingie sokoni, Chelsea muda wa kusubiri hakuna, tutakuwa kama ArsenalHiv nyie watu mbona hamna uvumilivu Harvert nae auzwe Warner auzwe je mtabaki na wachezaji gani nyie hebu kuweni na uvumilivu kaaa nyie hao wakuimba mapambia kwa TT leo hafai kisa 2 game?
Mkuu Lembu mpira hauko hivyo braIli tuingie sokoni, Chelsea muda wa kusubiri hakuna, tutakuwa kama Arsenal
Hao ndo mashabiki wa Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]....wengine watasema Bora Conte arudi kisa game 2[emoji23][emoji23][emoji23]Hiv nyie watu mbona hamna uvumilivu Harvert nae auzwe Warner auzwe je mtabaki na wachezaji gani nyie hebu kuweni na uvumilivu kaaa nyie hao wakuimba mapambia kwa TT leo hafai kisa 2 game?