Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Saul sio attacking midfielder, Saul ni box to box midfielder or dm, so ukisema umetegemee saul eti ndio akupe assist uko matatizoni

Saul ni kama wakina Rodri
 
Nyie mbwa ifike hatua mjue kuwa Chelsea ni timu ya kawaida ,hamna uwezo wa kufunga kila game [emoji23][emoji23][emoji23]

Jana mmeteseka Sana ,poleni kenge wa blue

Pumbavu!!!
 
Nyie mbwa ifike hatua mjue kuwa Chelsea ni timu ya kawaida ,hamna uwezo wa kufunga kila game [emoji23][emoji23][emoji23]

Jana mmeteseka Sana ,poleni kenge wa blue

Pumbavu!!!
Messi amecheza mechi kibao bila kufunga alikua anakusubili wewe mke wake akutoe bikra ya tako ,mchezaji wako wa million 100 anaekimbiakimbia uwanja wahuni wanamchakaza tuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pigwaaa miti na vibibi vya turini .....

Mnapaki Basi ,Jana mmekutana na wapaki train kudaddekiiii ....


Jana mmeteseka Sana ,mmedhalilishwa ,mmefedheheshwa Sana na vibibi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kai
Werner
Ziyech
Mount ..

Hao wote viwango vimeshashuka,ila kwa vile nyie ni wavimba macho hamuoni ,mmeamua kukaza fuvu ..

Hao wanajificha kwenye kivuli cha viwango vya kina ngolo kante ,kovacic,chillwel jorgihno , Alonso na azpllicueta ...

Lukaku mnaenda kumkataa soon...
 
Pengo la fabregas msimu sijui WA ngapi huu
 
Wakuu hbr za leo wadau... Jamani Chelsea kwa sasa tumeanza kukumbwa na tatizo la wachezaji kuchoka. Ndio maana umeona wachezaji wameanza kukosa wepesi na uharaka.


Na ktk hilo TT ameliona na ndio sbbu unaona ata Jana alifanya sub za kuwapumzisha wale wenye uchovu na akawaingiza wengine ili kupata uzoefu wa big game!


Next game tutegemee kuona wachezaji wakiendelea kupumzishwa maana Chelsea ins fixtures ya michezo mingi sn kuliko timu zingine
 
Pigwaaa miti na vibibi vya turini .....

Mnapaki Basi ,Jana mmekutana na wapaki train kudaddekiiii ....


Jana mmeteseka Sana ,mmedhalilishwa ,mmefedheheshwa Sana na vibibi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pain Killer wasamehe vijana hawa maana wanakelele sana
 
Odoi naye apelekwe mkopo
Saul arudi kwao akacheze ligi ile legele
Havertz awe sub tu kwa sasa hata RLC anamzidi
Azpi, Kova na Jo wapumzishwe kuwaanzisha kila mechi wanachoka
Tumsajili kiungo mshambuliaji wa kusaidiana na Mount kwenye kumhudumia Lukaku na wafungaji wengine wa mbele
Enzi za Fab kila mtu mbele anakuwa mfungaji kwa sababu yake
Bado lakini tupo vizuri, group stage huwa haina mvuto tofauti na hatua za mtoano
Bado tuna mechi nne, tunao uwezo wa kumbamiza Juve darajani, Malmo ndani na nje na kutoa sare na Zenit, point 10 ziko mbele yetu na ukichanganya na 3 kibindoni zinakuwa 13 hapo tumeongoza kundi.
Biashara ndio inakwenda hivyo
 
Hivi kwanini wachezaji wetu wasiwe wanajaribu mashuti ya mbali wakati mwingine?

Mpira wa Chelsea siku hizi hauna vionjo kabisa, yani Lukaku akikabwa basi wengine wote hawawezi kupiga mashuti ya mbali.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kila siku unataka kuingia sokoni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…