Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa liverkuku wapo serious aisee. Huyu ni kwenda naye jino kwa jino tusipoteze mechi kizembe

Nyumbu wanatania/masihara mengi Kwenye kupambania ubingwa

City hayuko tayari kutetea ubingwa
Hata mimi nimwewaona hizo timu za Manchester msimu huu hawatakuwa na consistency na hivyo Chelsea ikimaintain consistency tutakula sahaniu moja na Liver hadi achoke
 
Hawa liverkuku wapo serious aisee. Huyu ni kwenda naye jino kwa jino tusipoteze mechi kizembe

Nyumbu wanatania/masihara mengi Kwenye kupambania ubingwa

City hayuko tayari kutetea ubingwa
Mapema sana kumuhukumu City maana hata mwaka jana alianza vibaya hivyo hivyo lakini alipoanza kukaza mguu kwa mguu hakupoteza chochote zaidi ya kuchukua ubingwa wa EPL.
 
Ni sawa kabisa Kaka, nami natamani sana iwe hivyo ili Chelsea iendelee kuwa timu tishio duniani kote.

Tatizo mpira huwa unadunda Chifu.

Hivi uliona ile mechi tuliyocheza na Aston Villa ilivyokuwa ngumu sana kwetu?

Unajua hadi 90 kipenga cha mwisho Chelsea tulipata shuti 1 tu golini mwa Aston Villa ambapo Lukaku aliitumia nafasi hiyo hiyo toka kwa krosi ya Azpilicueta?

Unadhani kwanini mwaka huu timu yetu imekuwa ikitengeneza nafasi chache sana za kufunga magoli ktk EPL tofauti na mwaka jana?
 
Are you sure unaongelea match ya Aston Villa?
 
Jana ungepigwa tu mande maana tishakuchoka.

Na Jmosi ijayo tunakupiga mande ili upotee kabisa humu.
Man City ina fan base ndogo sana, tumvumilie tu hivyo hivyo japo kinafki maana kule kwenye uzi wao hauna wapenzi, wachambuzi wa mpira wala wanaoipenda Man City kindaki ndaki zaidi ya wanaocheza kamali ya mikeka tu...[emoji1787]
 
"TT amrudishe Timo Werner 1st eleven atamsaidia sana Lulaku"

Nimekubaliana nawe, pia Ziyech awe anatokea benchi ikiwa timu imeshapata matokeo.
 
Au unaongelea Zenit?
Hata ile ya Aston Villa pia tulibanwa zaidi ya kutumia uzoefu tu kama sikosei, Chelsea sasa hivi tunakosa maelewano mazuri ya kutengeneza pasi za mwisho pale mbele.

Yani mwaka jana tulitengeneza nafasi nyingi sana mfungaji hakuwepo, ila mwaka huu ni kinyume kabisa na nilivyokuwa natarajia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…