Lukaku na Kante kesho wanaweza wakaanza au wakatumika kama subTunamuhitaji lukaku hata kwa kipindi kimoja kwenye mechi ya villa msimu uliopita tumekosa magoli mengi sana na tukapoteza mechi kama tutaanza bila lukaku naona yaleyale yakijirudia kwa sababu midfield wetu wanakosa sana clear chances
Madhara ya hazard kukaa na mpira yanaonekana Sasa...akiwa madridMbona Hazard alikuwa anakaa na mpira lakini hakuwa hivyo
Game saa ngapiConfirmation from Thomas Tuchel that N’Golo Kante and Christian Pulisic are out of tomorrow’s game against Aston Villa, but the good news is that Romelu Lukaku is fit.
Saa 1 na Nusu usiku keshoGame saa ngapi
Kama vile umeshacheza na mabingwa wa ulaya tayari.... tar 25 tunakusokomeza mti kwa mara nyingine chuchunge wewe.Astonvilla anakuja kuwagongaa tena mara ya pili ....
Mbuzi nyie
Tunawasubili kwa hamu kudadekiii ....Kama vile umeshacheza na mabingwa wa ulaya tayari.... tar 25 tunakusokomeza mti kwa mara nyingine chuchunge wewe.
Mimi sisemi uongo ,Chelsea huwa anamfunga city kwa mbinde ,tena kubahatisha ...Kama vile umeshacheza na mabingwa wa ulaya tayari.... tar 25 tunakusokomeza mti kwa mara nyingine chuchunge wewe.
Wawaze Leicester wasikugonge km walivyofanya community shield unawawazia Chelsea[emoji1787]Astonvilla anakuja kuwagongaa tena mara ya pili ....
Mbuzi nyie
Uzuri na wao wanaweza wakawakosa wachezaji wao WA kiamerica kusini...kuanzia golikipa EMI Martinez, buendia, n Douglas luizConfirmation from Thomas Tuchel that N’Golo Kante and Christian Pulisic are out of tomorrow’s game against Aston Villa, but the good news is that Romelu Lukaku is fit.
Uwepo wa wener uwanjani unawatengenezea room ya kufunga wengine, japo bado bahati ya kufunga haijamfikia. Goli la Uefa na la Super Cup alihusika 100%.Jamaa tumepigwa kwa sababu tulitegemea aje afunge magoli mengi
Hatukupigwa kwa sababu bado Werner ana potential kubwa kule mbele kuliko hata Pulisic, Ziyech na Odoi wote ukimuondoa Mount
- Werner ana mbio kuliko wachezaji wengi wa EPL sio Chelsea tu
- Werner anajua kujiposition kwenye strategic location na hivyo kumfanya kuwa threat kwa timu pinzani, tujikumbushe goli la UEFA dhidi ya Man City, Havertz alipata urahis wa kufunga kwa sababu Werner alitimua kwenye danger zone Dias akamfuata kijinga akaachia nafasi kubwa kwa Mount kutoa pasi na Havertz kufunga
- Werner pamoja na kukosa kosa magoli lakini bado nin uhakika atatupa double digit kwenye magoli na assists msimu huu kwa sababu hana presure kubwa kama msimu uliopita, hayo ni mahesabu poa ukichukualia kuwa tunaye Lukaku kule mbele
- Werner akipata mpira anajua kuassists balaa the next baada ya Mount hapo Chelsea
Kesho huenda akachezaThomas Tuchel on Saul:
Amesema mwamba ni vigumu kwenda msimu mzima ukiwa na viungo watatu Kovacic, Jorginho na Kante ukizingatia unamashindano mengi, ikitokea kiungo mmoja ni majeruhi huku mwingine amesimamishwa mchezo unakuwa kwenye hatari.
Akaongezea kuwa binafsi na Chelsea pia tulikuwa tunamtaka vipindi tofauti tofauti mimi wakati nikiwa nafundisha timu nyingine lakini nilishindwa kumpata, Tulivyoona kuna uwezekano wa kumpata kwenye kipindi Cha usajili tukaona kwanini tusimchukue.
"Saul anaweza kucheza sambamba na Jorginho, Kante au Kovacic ni mchezaji mwenye uwezo wa kupiga pass nzuri, ana nguvu na ni mzuri kwenye kukaba. Ujio wake utatufanya tuwe tuna uwezo wa kuwapumzisha Kante na Jorginho kwa baadhi ya game zinazohitajika.
John dillinger
Chaos Master
Cash Money Forever
lembu
Mkohoti
Mbona Ziyech ni mzuri sana kwenye pass za mwisho au umemsahau?Itapendeza sana kama SAUL atakuwa na uwezo mkubwa zaidi ya Kante na Kovacic kwenye kuasists na kufunga.
Kovacic ndani ya 18 anapiga mashuti ya mtoto mdogo, hayana nguvu kabisa.
Wanasema SAUL ni mpiga pass mzuri, tukipata zile pass za fabrigas itapendeza pia.
Ilikuwa almanusra auzwe mwezi January[emoji1787]Rio kasema... he is the BestView attachment 1932334