Ila umewagharimu sana, hadi sasa nguvu ya kusajili hawana halafu wamegoma kumuuza Kane angewaboost kwenye mapatoMungu saidia 1 day the BLUES tujenge uwanja mpya wa caliber ya Tottenham.
Tote uwanja wao mkubwa na mzuri sana
Musisahau game ijayo muko na baasha wenu wa kila siku. (Mshika manati)Inabidi game 10 za mwanzo zote tushinde, mpaka wachezaji wanaenda kwenye international break tuwe tunaongoza ligi. Hakuna kucheka na kima ni kipigo tu mpaka akili ziwakae sawa ili wajue tuko serious.
Nimefurahi sana kuona wachezaji wetu wako serious na wanataka ubingwa wa ligi kuu. Vile tulicheza jana ndio bigwa anapaswa acheze vile hakuna kucheka na kima ni mwendo wa kuwapelekea moto tu. Yaani mpka maji waite mma, hakuna kuwapa nafasi ata ya kupiga shuti.
Sasa nimeanza kumuelewa TT alipo sema ataunda timu ambayo hakuna klabu itatamani kukutana nayo.
Na kwa jinsi tulivyo cheza jana walahi Lukaku atakuwa top goal score mpaka msimu unaisha. Japo tulipigwa
Musisahau game ijayo muko na baasha wenu wa kila siku. (Mshika manati)
Kweli mkuu, ule uwanja unatia aibuMungu saidia 1 day the BLUES tujenge uwanja mpya wa caliber ya Tottenham.
Tote uwanja wao mkubwa na mzuri sana
Lakini si wanalipa, kulipa mkopo inakufanya kuwa mdhaifu kifedha, kabla ya ujenzi Spurs walikuwa na nguvu nzuri ya kusajiliThe Tottenham Hotspur Stadium Construction cost: £1 billion (entire project)
Dah Hii pesa ni ya kukopa bank na sio kutoa mfukoni.
Check hili takatakaNyinyi kenge jiandaeni kiakili na LIVERPOOL huu msimu.
Watu wanaweka makombe wengine wanaweka mipira duh!!
Ni mapema sana kusema hivyo, refer msim uliopita,City wameishiwa na mbinu kabisa, akina Sterling wakikosaga mbinu kazi ni kujirusha rusha tu
Wanakaa na mpira kama walicheza na Chelsea na hakuna wanachoifanyia huo mpira
Kusema City ni Title contender ni kosa la jinai, hakuna timu hapo
Mwaka jana walitumia fursa kwamba timu za top 4 hazikuwa fit kushindana tofauti na mwaka huu
Msimu uliopita walianza kwa kushinda mechi 2 ya tatu wakadraw na Leeds UnitedNi mapema sana kusema hivyo, refer msim uliopita,
City stil ni title contender
Chelsea ni ngumu kujenga uwanja mpya unless wapanue uwanja uliopoMungu saidia 1 day the BLUES tujenge uwanja mpya wa caliber ya Tottenham.
Tote uwanja wao mkubwa na mzuri sana
Kujenga uwanja wala sio ngumu, plan ya kujenga ilikuwepo na makubaliano yalishafanyika, kilichozuia ni mlipuko wa Corona na uchumi ukayumba na suala hilo likaahirishwa kwa mudaChelsea uwanja kujenga ni ngumu kutokana na haki miliki ya uwanja inamilikiwa na organization Chelsea pitch owners (plc )ambao wao wana right ya Jin la Chelsea pamoja na uwanja
So io organization inaruhusu uwanja kuboleshwa na kutanuliwa Kwa uwanja na sio kujenga uwanja mpya na sababu moja wapo ni kuilinda clabu kuamishiwa eneo lingine
Hawa jamaa walisaidia clabu ilivokuwa katika Hali ya ukata ili isiuzwe so wakanunua right za jina pamoja na uwanja
NB:uwanja unamilikiwa kwa hisa so shabiki yeyote anaruhusiwa kununua hisa na kuwa sehemu ya mmiliki
This is our city ...Msimu uliopita walianza kwa kushinda mechi 2 ya tatu wakadraw na Leeds United
Kwa mechi zote walishinda mechi 4 mfululizo
Walikuja kufungwa mechi ya nane na hao hao spurs 2-0 hapo hapo kwenye huo huo uwanja
Mwaka huu inawezekana wakawa title conender ila wanayo kazi kubwa, wako legelegge city ukicompare na Liverpool, Chelsea na Manure
Wewe utakuwa umeconfuse na viporo aliviweka vingi na hizo viporo ndizo zilizomfanya awe nyuma ya table kwa muda mrefu
Mwaka huu kumbuka kashafungwa mechi mbili mfululizo sasa, kwanza na Leicester City na sasa Spurs kesho na keshokutwa, sioni dira kwa Mancity msimu huu