Wao wanapata kipato kwa mkataba waliosaini na Inter ndio maana wamenyamaza. Dau kubwa inaonmgeza mgao kwaoMbona manyumbu wamekaa kimya kuhusu harakati zetu za kumsajili Ex-player wao? Au wanasubiri kutucheka [emoji23]
Utafikiri wale wana mieleka wa kimarekaniJamaa ana mwili mkubwa sio mchezo. View attachment 1879279
bado tunauita ujao kwa sababu haujaanza bado
Lukaku huyu huyu au mwengine?Mda utaongea, hata kw kai watu walianza kumdoubt mapema ila sasahiv wanaanza kumkubal, kuna msemo huwa unasema form is temporary but class is permanent
Lukaku ashaprove ni wc striker,
We unachuki zako naye Tu[emoji3]...Lukaku huyu WA sahv kaimprove kinyama tofauti na Yule wa unyumbuniPapaa Gx hifadh maneno yangu atakuja ku prove wrong watu weng round hii trust me
Huyu huyu , leo hii ukitaja namba 9 bora kwa sasa lukaku utamuhesab katika top 5Lukaku huyu huyu au mwengine?
Sorry chief nimekuelewa text yangu ilikuwa directed Kwa Papaa Gx naona nilikoseaJohn dillinger umenielewa vibaya mkuu MI nasapot ujio wako rejea repy zangu juu hapo
Duh upepo umekataje tena Mzee misimu 2 serie A anafigure nzuri za magoli ...euro kamaliza na goli 4 ... have some respect on him and let's not underrate him.....[emoji3]Yule upepo umekata
Nilitaka kusema Tuchel na Conte
Kuna video moja Niliona YouTube jamaa anaelezea vzuri tofauti ya 3-4-3 ya Tuchel na 3-4-3 ya Conte ngoja niitafute nikupe link....Ila ngoja tuone majibu ya wadau hapa km yatapatikanaNilitaka kusema Tuchel na Conte
Kwa nini tusiweke hiyo 150£ kwa Haaland, miaka 28 na hilo touch ya km 1 tutapingwa regardless hizo statistics zakeKatika no. 9 wa chini ya miaka 30 hawa ndio tano bora duniani kwa sasa, Lukaku yuko no. 4
Kwa striker wote bila kujali umri 10 bora hawa hapa, mwenye maneno na atapike hapa LUKAKU bado yuko kwenye 5 bora
- Harry Kane
- Erling Haaland
- Kylian Mbape
- Romelo Lukaku
- Andre Silva
- Robert Lewandowski
- Harry Kane
- Erling Haaland
- Kylian Mbape
- Romelo Lukaku
- Luis Suarez
- Cristiano Ronaldo
- Karim Benzema
- Ciro Immobile
- Andre Silva
Kwa prospect iliyo ndfani ya Haaland bado hiyo amount inalipa. Kumbuka tutakuwa naye kwa muda mrefu, takriban miaka 15 na ushee kama hata hama. Na hata akihama lazima pesa zetu zitarudi na faidaKwa Haaland inahitajika €200M
Haaland = €150M
Wakala & baba mzazi = 50M
Bodi hawako tayari kulipa 50M kwa wakala