Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,321
Naona ka dalili cha kutosajili mshambuliaji yoyote msimu huuKocha wetu TT ajipange huko pre-season jinsi ya kupata kilicho bora zaidi kutoka wa washambuliaji wetu msimu ujao;-
Harvetz, Werner, Mount, Ziyech, Pulisic, Odoi, Abraham.
Kila mara unamuandika Keane, anaitwa Kane ndilo jina lake sahihiUSAJILI WA MSIMU HUU VICHEKESHO!!
📌timu nyingi hazitaki kuuza wachezaji wao hii inaonyesha vilabu vingi havina tamaa ya fedha kila mtu anataka makombe😂😂
📌HARRY KEANE - huyu mwamba amesusia mazoezi jana akishinikiza kutaka kuondoka ndani ya klabu tottenham na anataka kuelekea katika klabu ya man city, mwanzoni alikuwa akisikilizia kuona labda inawezekana tottenham ikamuachia lakini baada ya kuona tottenham wamegoma kumuuza huku man city nao wakiachana nae na wakamgeukia jack grealish ikabidi aweke mgomo baridi na kushinikiza kuondoka.
📌Ikumbukwe jamaa anatuzo binafsi za kutosha kwake anachotamani ni medali na makombe😂😂😂
🔵Sasa hili kumkomoa klabu ya tottenham imeweka dau la £160m ni sawa na €200m kwa timu yoyote inayomtaka harry kane😂😂😂
📌LUKAKU - Intermilan imegoma kumuuza lukaku kwa Chelsea Football Club licha ya chelsea kupeleka ofa ya €100m pamoja na alonso lakini ofa imekataliwa tena wamesema kama chelsea wakitaka kumnunua wasubiri mpaka mwaka 2024 na watamnunua kwa bei chee ya €7.5m tu🤣🤣🤣
🔴Lakini cha ajabu intermilan kumuuza lukaku hawataki badala yake wanataka #Chelsea iwauzie ALONSO🤣🤣
HAPA NI MWENDO WA KUKOMOANA TU!!
Media iliyotoa taarifa hawakusema hivyo, umetafsiri vibaya, wamesema yuko kwenye mkataba hadi 2024 na analipwa Euro mil 7.5 kwa mwakaUSAJILI WA MSIMU HUU VICHEKESHO!!
📌LUKAKU - Intermilan imegoma kumuuza lukaku kwa Chelsea Football Club licha ya chelsea kupeleka ofa ya €100m pamoja na alonso lakini ofa imekataliwa tena wamesema kama chelsea wakitaka kumnunua wasubiri mpaka mwaka 2024 na watamnunua kwa bei chee ya €7.5m tu🤣🤣🤣
Ukiangalia miezi michache iliyopita mzee wake + raiola walifanya mazungumzo na barce na madridPia naona Haaland anatubagua dhidi ya Man u. Mapenzi yake yapo Man u
Tunaweza tukaweka hiyo €200M na akagoma kuja darajani akasubiri mwaka kesho kununuliwa bei chee na manyumbu.
Dortmund hawawezi kumshikia bunduki akubali kuuzwa ingali yuko kwenye mkataba
Nimeona taarifa kwa Fabrizio Romano kwamba dau jipya around €120 up to €130Deal la lukaku liko likely to happen kuliko hata deal la haland kutokana na hali jinsi inavyoendelea sasa
Kiloba tunanunua cha nini! Mtakuja kumkataa huyo Lukaku. Mara 10 bora tubak na Abraham.Deal la lukaku liko likely to happen kuliko hata deal la haland kutokana na hali jinsi inavyoendelea sasa
Yeah,Nimeona taarifa kwa Fabrizio Romano kwamba dau jipya around €120 up to €130
Mda utaongea, hata kw kai watu walianza kumdoubt mapema ila sasahiv wanaanza kumkubal, kuna msemo huwa unasema form is temporary but class is permanentKiloba cha nini! Mtakuja kumkataa
Mnaosema Lukaku hatong'aa Darajani.Jamaa ana mwili mkubwa sio mchezo. View attachment 1879279
Kwann umemtumia sarri mkuu?Mnaosema Lukaku hatong'aa Darajani.
Nipeni utofauti wa mpira wa Sarri na mpira wa Conte.
Takwimu za Lukaku sio za msimu mmoja, doubters wengi wa Lukaku wanamuhukumu kwa uzito wake, lakini Lukaku anautumia uzito wake vizuri uwanjaniMda utaongea, hata kw kai watu walianza kumdoubt mapema ila sasahiv wanaanza kumkubal, kuna msemo huwa unasema form is temporary but class is permanent
Lukaku ashaprove ni wc striker,
Sarpong yuko hule wamuijieMbona mnakaa kufalafala ,
Halaand kawashinda
Lukaku kawashinda
Hii timu bana