Klabu huwa haigomi kuuzwa mchezaji ndugu, mchezaji anaweza goma kuuzwa klabu hii au ile ila hagomi kuuzwa kabisaMAONI YAKO SHABIKI WA CHELSEA
π#HAALAND - Klabu yake (borrusia dortmund) imegoma kumuuza.
π#ROMELU_LUKAKU - amesema haondoki katika klabu yake (Intermilan) na wamesema hauzwi.
π#HARRY_KEANE - Klabu yake (tottenham hotspur) imegoma kumuuza.
π#ROBERT_LEWANDOWSK - Klabu ya (bayern munich) imegoma kumuachia na imesema hauzwi.
π΅#maoni yako shabiki wa Chelsea Football Club tusajili striker (mshambuliaji) gani wa daraja la juu katika kipindi hiki ambacho tunashida ya foward.
π΄#mimi binafsi namuunga mkono legend DIDIER DROGBA tumsajili RICHARLSON
Kwenye page ya Twita ya Chelsea walisema inaonyeshwa kwenye ile app kwa kulipiaHii mechi itaonyeshwa dstv?
Hatuwezi tukapata sehemu nyingine ya kuangalia bure?Kwenye page ya Twita ya Chelsea walisema inaonyeshwa kwenye ile app kwa kulipia
Labda kustream Kwa kupitia hesgoal.comHatuwezi tukapata sehemu nyingine ya kuangalia bure?
Bado.Hivi Joginho na Thiago walisharudi kambini?
Huu mfumo sijauwelewa
Chelsea 1-0 Arsenal
Kai Havert an assist from chelsea no.9 timo werner, what a counter attack by chelsea .
Nimeona goli lake nice touch na finishing nzuri[emoji122]...[emoji1][emoji1]sema huyu mshenzi msimu huu tumuombee asipate majeraha tuhView attachment 1876572
Kamwe msichemzee Kai Haverts soft maana mkimchezea soft atawafanya kama alivyoifanya defense line ya Madrid,Man City na Arsenal Leo alisikika Nabii[emoji1][emoji1]sema huyu mshenzi msimu huu tumuombee asipate majeraha tuhView attachment 1876572