MwafrikaHalisi mi nlifurahi alikuwepo aone sio vizur kushinikiza manunuz na ww co kocha...twas a great performance from our boys EXCEPT Torres...By the way, what a boring perfomance at the bridge infront of Roman.
Ukweli ni kwamba Torres amekuwa mzigo,Roman kajaribu kumletea Hazard,Mata,Oscar lakini bado anashindwa kufunga.Kama Chelsea wakisajili mshambuliaji mwingine Torres atakula benchiMwafrikaHalisi mi nlifurahi alikuwepo aone sio vizur kushinikiza manunuz na ww co kocha...twas a great performance from our boys EXCEPT Torres...
Now naelewa kwann kocha wa spain at times ali opt kucheza bila striker. Lazima tukubali enzi za Torres zimeisha kwani hata el-nino hainyeshi kila mwaka.
Ukweli ni kwamba Torres amekuwa mzigo,Roman kajaribu kumletea Hazard,Mata,Oscar lakini bado anashindwa kufunga.Kama Chelsea wakisajili mshambuliaji mwingine Torres atakula benchi
kwa taaaaaaaabu 1 dhidi ya stoke city..
Hongera zenu..
Wenye nyumba humu hawajiamini. Wanasubiri vikombe ndo wajitokeze.
MwafrikaHalisi mi nlifurahi alikuwepo aone sio vizur kushinikiza manunuz na ww co kocha...twas a great performance from our boys EXCEPT Torres...
Now naelewa kwann kocha wa spain at times ali opt kucheza bila striker. Lazima tukubali enzi za Torres zimeisha kwani hata el-nino hainyeshi kila mwaka.
Hahaha. Unajuaje kama mimi si kocha? Anyway, what matters ni kuwa nimetazama game nzima and I think that display is why Roman would want Guardiola even now, but has to wait untill the end of the season to FIRE the 'caretaker' :lol: .
haya bana naona leo Mata anatamba uwanja mzima
53' (PG) Oriol Romeu
58' Torres
hakuna cha kusema huku, toka ligi imeanza mnacheza na vibonde..tutakua hapa jumapili wakati mnatolewa jasho na arsenal :biggrin1: