TT alivyo, huyo hatakawia kuwa kwenye first XI labda angekuwa SariHuwezi kumuingiza moja kwa moja Broja kwenye first XI. Harvey's bado ana potential kubwa pale mbele. Uwepo wa Werner pale mbele ana usumbufu mwingi ambao ni hatari kwa timu pinzani, broja akitokea Sub ili APATE uzoefu
Halafu kumbuka hizo formation nilizochokozea mada ni za strikers wawili na hao uliowataja hawawezi kucheza kama natural striker kama huyo Broja na HaalandHuwezi kumuingiza moja kwa moja Broja kwenye first XI. Harvey's bado ana potential kubwa pale mbele. Uwepo wa Werner pale mbele ana usumbufu mwingi ambao ni hatari kwa timu pinzani, broja akitokea Sub ili APATE uzoefu
Kepa akimbie tuu akatufute maisha mengine huyu kipa najua anaweza kumchallenge kepa na akawa namba mbili baada ya mendy
Huyu ni chaguo la 3Kepa akimbie tuu akatufute maisha mengine huyu kipa najua anaweza kumchallenge kepa na akawa namba mbili baada ya mendy
Pedro alikuwa ananifurahisha kitu kimoja na nmeona akifanya kwenye mechi kadhaa, akinyang'anywa mpira bc lazima amkimbize huyo mpinzani na atamchezea rafu na atapewa kadi ya njanoHAPPY BIRTHDAY PEDRO:
Tarehe kama ya leo 1987, alizaliwa aliyekuwa mchezaji wa Chelsea FC Pedro Rodriguez.π
Pedro akiwa Chelsea FC;
πMichezo 204.
β½οΈMagoli 43.
π °οΈAssists 28.
πPremier League.
πFA Cup.
πUEFA Europa League..
A brilliant player to watch on the pitch, Age with grace Pedro have a great day..
Binafsi sina yale mambo ya kuweka pics au videos kwenye simu yangu ila picha hiyo ninayo.
Hii issue ya Halaand naona itakuwa mtihani kidogo. Labda tukomae na Broja na Harverts kama false nine huku akisaidiana na Werner na Ziyech nyuma yake..mim naona tuongeze zaidi mabeki maana Azp na Silva ni mafaza hivyo management ifanye namna ya kuwa back up kwenye huu muda wa usajili uliobaki.Halafu kumbuka hizo formation nilizochokozea mada ni za strikers wawili na hao uliowataja hawawezi kucheza kama natural striker kama huyo Broja na Haaland
Huyu kipa anaweza kutusaidia sana kwenye FA na Carabao
Dili la kounde lipo hatua za mwshoHii issue ya Halaand naona itakuwa mtihani kidogo. Labda tukomae na Broja na Harverts kama false nine huku akisaidiana na Werner na Ziyech nyuma yake..mim naona tuongeze zaidi mabeki maana Azp na Silva ni mafaza hivyo management ifanye namna ya kuwa back up kwenye huu muda wa usajili uliobaki.
Kounde yule wa Sevilla?? Halafu supercup tunakipiga lini? Na huyu Kounde ni beki au kiungo..??
Ni beki mzr, atawafaa sanaKounde yule wa Sevilla?? Halafu supercup tunakipiga lini? Na huyu Kounde
Super cup trh 11 AugustKounde yule wa Sevilla?? Halafu supercup tunakipiga lini? Na huyu Kounde ni beki au kiungo..??
3- 4 - 3
------- Werner - Haaland - Mount-----
Chilwell - Joginho - Kante - Azipu/James
------ Rudger - Thiago - Kounde ----
Ukimuona kama tozi ivi ila akiwa na Partner wake Diego Carlos wanavyoufanyia ubaya washambuliaji ndo utaelewa ubora wake π
Inawezekana Tuchel akatumia huu mfumo tena kweli?3- 4 - 3
------- Werner - Haaland - Mount-----
Chilwell - Joginho - Kante - Azipu/James
------ Rudger - Thiago - Kounde ----