Preseason ndio kawaida yake, kila mtu acheze ndio maana akin a Drink water wanacheza. Mpaka mpira wachezaji wote 30+ watakuwa wamechezaSijui kwanini Ziyech anawekwaga benchi? Angalia pass za upendo anazotoa alafu angalia takataka za mbele zinafanya Nini alafu kuna lijitu linasema Ziyech achezi vizuri hiv unataka afanyaje ikiwa striker wetu hawana tofauti na mastrikers wa Tanzania prison, mbao fc
Mbona mnahasira hvyo mapema hata game haijaisha[emoji23]Bournemouth hata wakishuka tena Championship, hakika wataifunga tu Chelsea. Chelsea wameshatundikwa
Haverts na Werner unawaweka wapi?Amando Broja ana miaka 19 tu, mrefu na ana mwili karibia na Haaland, yuko very clinical kwenye final third
Natamani kuona muunganiko wake na Haaland pale mbele kwnye
formation ya 4-2-4
formation ya 4-2-4
Mount---------------Broja ----------------Haaland --------------------------Ziyech
--------------------Jorginho-----------------------------Kante--------------------------
------Chilwell --------- Rudiger ----------- Silva -----------Azpilicueta---------
------------------------------------------Mendy------------------------------------------------
AU ya 4-2-2-2
---------------Broja ----------------Haaland --------------------------
Mount ----------------------------------------------------------Ziyech
------Jorginho-----------------------------Kante------------
Chilwell --------- Rudiger ----------- Silva -----------Azpilicueta
--------------------------------------Mendy-------------------------------------
Hunaga Jipya tena ww, naona ulichobaki nacho ni matusi tu, na matusi yenywe wala hayana Madhara. Ww kwa Chelsea Ni Kama EX wake wa Kike tuuNiaje mafala wa London
Chelsea ni underdog tu mbele ya city ,Hunaga Jipya tena ww, naona ulichobaki nacho ni matusi tu, na matusi yenywe wala hayana Madhara. Ww kwa Chelsea Ni Kama EX wake wa Kike tuu
Kila formation lazima kuna mchezaji muhimu atatupwa nje kwa sababu wanaotakiwa ni 10 tu ukiondoa kipaHaverts na Werner unawaweka wapi?
Huwezi kumuingiza moja kwa moja Broja kwenye first XI. Harvey's bado ana potential kubwa pale mbele. Uwepo wa Werner pale mbele ana usumbufu mwingi ambao ni hatari kwa timu pinzani, broja akitokea Sub ili APATE uzoefuKila formation lazima kuna mchezaji muhimu atatupwa nje kwa sababu wanaotakiwa ni 10 tu ukiondoa kipa