Kwa kuongezea kuondoka kwa Caballero Chelsea nafkri ni sababu piaChelsea ipo kwenye hatua ya mwisho ya kumsajili goalkeeper Marcus Bettinelli kwa uhamisho huru.
NB: Kwanini Chelsea inamsajili huyu kipa? Mendy ataenda kushiriki kwenye michuano ya caf kwa hiyo Chelsea itabakiwa na kepa pekee na ukizingatia Chelsea hawana imani kabisa na kepa so why wanamsajili huyu kipa
Ubora wa huyu kipa
Nimemfuatilia huyu kipa aisee ni binge la kipa huyo vizuri one against one, yupo vizuri pia kwenye penalty, ana dominate eneo lake vizuri, anajua kujiposition na mwisho kabisa anafanya saves za maana.
Kwa ubora wake naona kabisa ataenda kuchukua kabisa nafasi ya kepa na Mendy akifanya masiala naona kabisa atakuwa chaguo la kwanza.
Acha we unasema ukweli ....huyu si alikuwa anawekwa mbao na areola Fulham au yupi[emoji23]Chelsea ipo kwenye hatua ya mwisho ya kumsajili goalkeeper Marcus Bettinelli kwa uhamisho huru.
NB: Kwanini Chelsea inamsajili huyu kipa? Mendy ataenda kushiriki kwenye michuano ya caf kwa hiyo Chelsea itabakiwa na kepa pekee na ukizingatia Chelsea hawana imani kabisa na kepa so why wanamsajili huyu kipa
Ubora wa huyu kipa
Nimemfuatilia huyu kipa aisee ni binge la kipa huyo vizuri one against one, yupo vizuri pia kwenye penalty, ana dominate eneo lake vizuri, anajua kujiposition na mwisho kabisa anafanya saves za maana.
Kwa ubora wake naona kabisa ataenda kuchukua kabisa nafasi ya kepa na Mendy akifanya masiala naona kabisa atakuwa chaguo la kwanza.
Huyu ni chaguo la 3, nafasi iliyoachwa na caballeroChelsea ipo kwenye hatua ya mwisho ya kumsajili goalkeeper Marcus Bettinelli kwa uhamisho huru.
NB: Kwanini Chelsea inamsajili huyu kipa? Mendy ataenda kushiriki kwenye michuano ya caf kwa hiyo Chelsea itabakiwa na kepa pekee na ukizingatia Chelsea hawana imani kabisa na kepa so why wanamsajili huyu kipa
Ubora wa huyu kipa
Nimemfuatilia huyu kipa aisee ni binge la kipa huyo vizuri one against one, yupo vizuri pia kwenye penalty, ana dominate eneo lake vizuri, anajua kujiposition na mwisho kabisa anafanya saves za maana.
Kwa ubora wake naona kabisa ataenda kuchukua kabisa nafasi ya kepa na Mendy akifanya masiala naona kabisa atakuwa chaguo la kwanza.
Sio huyo tuu hata toni kroos pia aliongea shit kuhusu Chelsea. Kwenye interview moja aliojiwa je ? Chelsea inakunyima usingizi?? Jamaa likajibu Chelsea hamnyimi usingizi na analala wala haiwazii Chelsea.Hii statement nililiona mahala nijikuta kucheka tu. Kumbe Simione aliichukulia Chelsea kawaida[emoji23][emoji23][emoji23] afundishwa adabu kabisa na soka pia [emoji23]
Haha eti miguu mirefu mirundaAsenane wameisha kubaliana na Miguu mirefu aka milunda aka kubwa jinga aka Abraham. Bado kwa Chelsea, Chelsea wanataka paundi 45 milioni
I think priority yetu ni DM mkuu...Pogba anapatikana kwa pound mil 50 tu kwa nini tusimchukue huyu jamaa aje kusaidiana na Kante na Joghihno pamoja na Kovavic..?
Nimesoma sehemu, Kurt Zoumna atawekwa kwenye swap deal na mazungumzo yamefika mbali
Kuhusu hapo Mendy kwenda kucheza caf sidhan kama atakubaliwa, ndo yaleyale ya TT kusema Mendy anaumwa menoChelsea ipo kwenye hatua ya mwisho ya kumsajili goalkeeper Marcus Bettinelli kwa uhamisho huru.
NB: Kwanini Chelsea inamsajili huyu kipa? Mendy ataenda kushiriki kwenye michuano ya caf kwa hiyo Chelsea itabakiwa na kepa pekee na ukizingatia Chelsea hawana imani kabisa na kepa so why wanamsajili huyu kipa
Ubora wa huyu kipa
Nimemfuatilia huyu kipa aisee ni binge la kipa huyo vizuri one against one, yupo vizuri pia kwenye penalty, ana dominate eneo lake vizuri, anajua kujiposition na mwisho kabisa anafanya saves za maana.
Kwa ubora wake naona kabisa ataenda kuchukua kabisa nafasi ya kepa na Mendy akifanya masiala naona kabisa atakuwa chaguo la kwanza.
Chelsea wanacheza vizuri, tatizo ni mbele. Tammy Abraham akipata mpira ni single minded, hana ubunifu kabisa
Ndo maana anatafutiwa timu asepe,Chelsea wanacheza vizuri, tatizo ni mbele. Tammy Abraham akipata mpira ni single minded, hana ubunifu kabisa