OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,323
Unamtaka halaand halafu unamtoa Werner huu ni uharibifu wa kufikiri. Werner ni threat kwa timu zingine. Ana speed, ana toa assist hafungi ila ni balaa ..uza Abraham na mazaga mengine leta huyo halaand mpira uwe hivi ..
Werner Halaand Harvert
#CFC
Werner Halaand Harvert
#CFC