2012 U.E.F.A. CHAMPIONS LEAGUE WINNERS!!!!
The Chelsea players celebrate after the win
Mbona kimya sana, wenye mji huu sijui wamehama. Anyway nimepita kuwa subalkheri tuonane Jumamosi pale Loftus Road.
Maumivu mengine hayo,naona mnaanza kutoana nge'u: P'seDuh! Kibano kilikuwa kikali na maumivu bado yanauma!
Wajipange, wasifikiri gemu itakuwa mchekea.Wakaze misuliWeekend inakuja! Amkeni! Chelshit!
Mbona kimya sana, wenye mji huu sijui wamehama. Anyway nimepita kuwa subalkheri tuonane Jumamosi pale Loftus Road.
Karibu sana kunapoint 3 za kuongeza kwenye salio letu.
Asante sana mkuu naona maombi yako ndo yamesikika.hahahahahahahahaha!!! hongera bana!!!
Duh! Kibano kilikuwa kikali na maumivu bado yanauma!
Vipi Rev mambo yakoje? Nasikia Tor The res leo baada ya kutolewa moja kwa moja alienda kuoga bila hata kuangalia matokeo chacha njomba huu sio ugomvi tayari na Di Mateo? Vipi nani alipanga timu leo? Romano au Di mateo?
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Unaniumiza weye Wacha1! Message closed and delivered.
Acha kokoro weye, mnajitapa na sita zenu baada ya kumtema Robin Van Injury? Mnajitahidi na labda January mtamchukua Didier!