Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We jamaa utakuwa unaendeshwa na mahaba kuliko facts hiv kweli Uingereza, Uholanzi na Sweden unaweza kuziweka kwenye level moja na ITALY, GERMAN, PORTUGAL na FRANCE?
Portugal na italy ni overrated ..


Uholanz na belgium hizi timu sio mchezao aiseee
 
We jamaa utakuwa unaendeshwa na mahaba kuliko facts hiv kweli Uingereza, Uholanzi na Sweden unaweza kuziweka kwenye level moja na ITALY, GERMAN, PORTUGAL na FRANCE?

🙁🙁🙁🙁🙁😕😕😕😕
 
We jamaa utakuwa unaendeshwa na mahaba kuliko facts hiv kweli Uingereza, Uholanzi na Sweden unaweza kuziweka kwenye level moja na ITALY, GERMAN, PORTUGAL na FRANCE?
Kati ya hizi timu zitafika fainali equally yaani kwa nafasi sawa au kama unabet kwa Odd zinzokaribiana
  1. Ubelgiji
  2. Ufaransa,
  3. Ujerumani,
  4. Uingereza,
  5. Uhispania
  6. Italy,
  7. Sweden
  8. Uholanzi

Tournament winner betting ideas -- Hiyo timu yako ya Itally hata haipo kwenye top 5 ya uwezekano wa kushinda kombe​

  • Belgium – 11/2
  • England – 11/2
  • France – 11/2
  • Spain – 15/2
  • Germany – 15/2

 
Aiseee spain ni takataka.
 
Huyo Andre Silva kafeli AC Milan na Sevilla tusikurupuke na kusajili wachezaji one season wonder na kuwa laughing stock ...
 
City wamepeleka ofa spurs ya £100M + player kwa ajili ya kane

Kama city watakuwa wako serious na kane,naona mbio za haland ni sisi na hela tu ili tuwashawishi dortmund
 
Ufaransa, England, Sweden na Czech Republic wafuzu kwenda round ya timu 16 bora hata bila kumalizia mechi zao
Timu zinazofuzu nafasi ya kwanza na pili zitakuwa 10 kwa hiyo bado zitatakiwa timu 6 za nafasi ya tatu wenye matokeo mazuri zaidi kuziba pengo
Kwa mechi zilivyochezwa hadi sasa, timu zote zenye points 4 katika nafasi ya tatu zimeshapita. Kwa hiyo leo Ufaransa, England, Sweden na Czech Republic watacheza tu kutafuta mshindi wa 1 hadi 3 kwenye magroup yao
 
Chelsea naona tuko kimya tu, ama TT anasoma upepo wa uero kwanza?
 
Mimi Adma Traore namkubali sana klwa vitu viwili
  1. Ana nguvu - kwa sasa kule mbele forward wetru wanategemea klasi na akili zaidi
  2. Anauwezo wa kukaa na mpira na kuserereka nao na kutoa krosi nzuri kama wing-back
  3. Ni Wingback mwenye mtizamo wa kufunga kila saa awapo uwanjani
 
Mimi hizi media zinaniboa sana
Mara utasikia
Chelsea identify Villarreal’s Gerard Moreno as alternative to Erling Haaland
 
Adama Traore namkubali sana kwenye ku dribble, jamaa ni hatari sana kwenye hiyo sekta.
Kuna habari nimeona Tuchel kassugest Kwa viongozi km dili la achraf hakimi likishindikana waende Kwa adama traore wa wolves aje acheze as RWB
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…