Questions were asked of the 22-year-old midway through his first season at Stamford Bridge and whether value could be found by the Blues in a £70 million ($97m) deal.Huyu mtoto anamnyanyasa sana dias View attachment 1824224
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe boyaa inamaana hujamuona pepe mpaka umutaje diasHuyu mtoto anamnyanyasa sana dias View attachment 1824224
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dias ndie kajifunga na kwa sababu ya Havertz, periodWewe boyaa inamaana hujamuona pepe mpaka umutaje dias
Sijaongelea mechi ya jana tuu nimejumlisha kuanzia ligi kuu , FA ,UEFA na EUROWewe boyaa inamaana hujamuona pepe mpaka umutaje dias
Wewe boyaa inamaana hujamuona pepe mpaka umutaje dias
Tammy Abraham alifunga magoli 26 huko Championship alipokuja Chelsea na mbwembwe nyingi kafurukuta goli 15 msimu wake wa kwanza EPL kisha akazima injini katikati ya ligiKuelekea msimu ujao kwa maono yangu hawa ndio wachezaji tunaopaswa kusajili, ili kutetea ubingwa wa UEFA na kufukuzia ubingwa wa elp.
Tukianza na Straika, Ivan Toney (25) kutoka Brentford, Pedro Goncalves (22) kutoka Sporting na Andre Silva (25) kutoka Frankfurt. Hao Straika ni hatari sana na wanabalaa sana, kama ww ni mpenzi na mfuatiliaji wa mpira wa miguu basi utakuwa unakubaliana na mm ama kufahamu moto wao. Sasa katika hao watatu tuchukue mmoja ama wawili. Hapo sijamtaja Haaland maana usajili wake ni wa pesa ndefu sana.
Upande wa beki, Robert Atkinson (22) kutoka Oxford United, huyu dogo ata asipo pata nafasi ya kucheza lakin anafaa sana kusajiliwa ata kwa matumizi ya baadae. Dogo ni beki mzuri sana, tukimsajili huyu tunampelekea academy ili akapate uzoefu zaidi kisha atakuwa anapata nafasi moja moja kwenye timu kubwa. Jules Kounde (22) kutoka Sevilla, Achraf Hakimi (22) kutoka Inter na Alessandro Bastoni (22) kutoka Inter. Hizo beki ndio zinatufaa kabisa.
Kiungo mkabaji, Joshua Kimmich (26) kutoka Bayern Munchen, hapa bila kupepesa macho inabidi huyu mwamba tujilipue na tumsajili kama kweli tunataka ubingwa wa EPL na kutetea ubingwa wa UEFA. Uzuri wa Kimmich anacheza nafasi zaidi ya moja hivyo atatufaa sana hapa inabidi tujilipue kweli bila masikhara.
Hayo ndio maono yangu kuelekea msimu ujao, uchaguzi nilio ufanya kwanza nimelenga ubora kisha umri wa mchezaji.
NYUMBU na Ase8 ruksa kupeleka mapendekezo yangu kwenye bodi yenu maana nimewafanyia usikauti murua kabisa.
Papaa Gx.
Italy sawa🤣🤣🤣🤣 Team Bora hadi sasa ni ITALY, FRANCE, GERMAN na PORTUGAL zingine ni zakutafuta kwa tochi
Ila wanatupa vifaa, Kante na Ben ChilwellLeicester city bei zake hazishikiki.
Belgium hata nusu fainal haitafika kama atakutana na moja ya hizi team yaani ITALY, GERMAN, PORTUGAL au FRANCE Mark my wordsItaly sawa
France sawa
Portugal walivyonyanyaswa na German duh
Belgium bado ni timu bora duniani kuliko zote, form ya Lukaku itawabeba ila form ya Eden Hazard itawaangusha
Ubishi tuache hapa nenda kabeti. Hapo ndio mwisho wa ubishiBelgium hata nusu fainal haitafika kama atakutana na moja ya hizi team yaani ITALY, GERMAN, PORTUGAL au FRANCE Mark my words
Kutofika Nusu fainal;i haina maana sio wazuriBelgium hata nusu fainal haitafika kama atakutana na moja ya hizi team yaani ITALY, GERMAN, PORTUGAL au FRANCE Mark my words
Ndg, utajiri mwingine ni ubadhirifuTajiri anafanya shopping maeneo yanayoendana na hadhi yake. Ataingia kwenye mall's na sio manzese sokoni au samunge.
Bidhaa ya Haaland imefika MALL, Roman ameiona sasa.
We jamaa utakuwa unaendeshwa na mahaba kuliko facts hiv kweli Uingereza, Uholanzi na Sweden unaweza kuziweka kwenye level moja na ITALY, GERMAN, PORTUGAL na FRANCE?Kutofika Nusu fainal;i haina maana sio wazuri
Wako Italy, Wako Ujerumani, Wako Ufaransa, Wako Uingereza, Wako Sweden wako Waholanzi nk