Alonso kwa maoni yangu atakuwa partner mzuri wa Chilwell asiuzwe, angalau msimu huu kwa sababu priority kubwa ni CB, MF na StrikerWachezaji wengi mikataba yao inaisha mwezi ujao JULY:-
1. Batshuayi
2. Drinking water
3. Bakayoko
4. Barkley
5. Loftus Cheek
6. Giroud
Wachezaji wakuuzwa:-
7. Tomori
8. Abraham
9. Ermason
10. Alonso 50/50
11. Zouma 50/50
Mimi sioni Hazard kiwango chake kikirudi tena, tungeachana na habari ya Hazard tu, yule kasharidhika mentality ya kurudi kwenye form hakuna paleLeta Hazard na beki Moja tosha kabisaa
Hazard injury prone yule hatufai Tena..Leta Hazard na beki Moja tosha kabisaa
Ila kiwango cha Tammy sio cha timu kama Chelsea, kina ulazima wakutafuta striker ili timu iwe na ushindani wakutosha.Lukaku [emoji777]
Kane[emoji777]
Haaland [emoji777]
Lewandoski [emoji777]
Tuendelee kuwaamini Harvetz, Werner, Abraham [emoji41]
Hazard anasikitisha kwa kweliAlonso kwa maoni yangu atakuwa partner mzuri wa Chilwell asiuzwe, angalau msimu huu kwa sababu priority kubwa ni CB, MF na Striker
Alonso abakiAlonso kwa maoni yangu atakuwa partner mzuri wa Chilwell asiuzwe, angalau msimu huu kwa sababu priority kubwa ni CB, MF na Striker
Dany drinkwater is dreakinng water[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alonso kwa maoni yangu atakuwa partner mzuri wa Chilwell asiuzwe, angalau msimu huu kwa sababu priority kubwa ni CB, MF na Striker
But a difference.Mwaka 2012 city walishinda EPL na Chelsea tukachukua UCL
Mwaka 2021 city kashinda EPL na Chelsea tukachukua UCL
What a coincident
Verbal words, mshiko ukiwekwa mezani huwa wanajitoa ufaahamu kwamba jana yake walisema niniLukaku [emoji777]
Kane[emoji777]
Haaland [emoji777]
Lewandoski [emoji777]
Tuendelee kuwaamini Harvetz, Werner, Abraham [emoji41]
Uza Alonso leta Achraf Hakimi.Alonso kwa maoni yangu atakuwa partner mzuri wa Chilwell asiuzwe, angalau msimu huu kwa sababu priority kubwa ni CB, MF na Striker
Chelsea imewaka dau la €80 kwa kilabu ya dormund, Ku sign Jordan Sacho pia wameanza maongezi pia kuona kama Romaro lukaku pia anakuja Chelsea pamoja na Halaad.Boss anaamini au Tuchel anaamini? Tusiingie tena mkenge mgogoro wa CONTE vs MANAGEMENT
Hapana deal hazija tick subiri tufanikishe ndo tuone. Best 11 ni ipi , wote hawawezi kujaKwahiyo pale mbele patakuwa:-
Werner - Lukaku - Sancho
[emoji41]
Huyo saka wa nni
Anaki tu hatumtaki kipipa ssiBBC TETESI ZA USAJILI
Matumaini ya Chelsea ya kupata saini ya Romelu Lukaku yamegonga mwamba baada ya mchezaji huyo, 28, mshambuliaji wa Kibelgiji kusema kuwa anasalia Inter Milan. (Football Italia)
Kacheza mechi 44 msimu huu ana goals 34 assist 10 alafu nyinyi mnambeza kwenye Taifa lake la belgium yeye ndio Top scorer hadi sasa huo uwalali wa kumponda mnatoa wapi?[emoji23] aisee mimi na wasiwasi huyu jamaa anatua Stanford bridge, sioni tukiweza kumsajili Haaland/ Kane
Nashangaa.Kacheza mechi 44 msimu huu ana goals 34 assist 10 alafu nyinyi mnambeza kwenye Taifa lake la belgium yeye ndio Top scorer hadi sasa huo uwalali wa kumponda mnatoa wapi?
Kama ni hivyo mbona lukaku kaperform vizuri tu alivyokuwa everton, westbrom mpaka man uGoli 34 Italia = Goli 10 EPL