Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Mkuu bado Niko na vibe la nguvu yaani huu ubingwa bado naselebuka nao kwa nguvu.Kweli aisee Antonio Conte unaitwa huku mbona kimya tusikie analyst wako wa mechi ya jana
Maadui ndo nani hao? Tunaitwa wapinzani na upinzani si uadui. Juzi kuna demu wa Chelsea alinipa yote yote kote kote yaani. Tupo pamoja.Hongereni sana mashabiki wa Chelsea. Kikubwa tuwe na imani na klabu yetu, ata kama tuko hovyo tusionyeshe udhaifu wetu kwa maadui.
Tuchel apewe mkataba mrefu zaidi.Kuanzia aje tuchel, christeansen kaimprove sana, kuna kipindi silva alikosekana ila christeansen aliziba pengo lake vizuri tu
Lukaku Ana maajabu gani mkuu? Maana tayari tuna Tammy na Werner ..apo labda aletwe Halland tu mwenye uhakika wa kukupa Holi za kutosha kwa msimu.TT anawataka hawa hapa
- Adama Traore
- Declan Rice
- Lukaku
Tammy huyo NI out of favour tiyari kwenye kikosi cha tuchel...msimu ujao huenda akaenda crystal palace au westham ....Lukaku wa misimu miwili iliyopita inter alikuwa ana kasheshe sana ana takwimu nzuri Sana za ufungaji na assist Labda utueleze unavyoona kwann asije Lukaku au kisa alifeli man u?Lukaku Ana maajabu gani mkuu? Maana tayari tuna Tammy na Werner ..apo labda aletwe Halland tu mwenye uhakika wa kukupa Holi za kutosha kwa msimu.
Kwann Lukaku hapana tupe Sababu?Declan Rice achukue nafasi ya nani?
Lukaku hapana, kama tukimkosa Haaland, Kane, Lewandoski bora tuendelee kutumia wachezaji wetu wa sasa
Adama Traore hapana hizo nguvu zake azipeleke bundasliga.
Kwan hawezi kuwa na chef wa kiitaly huko london......?Mkuu ujue hata Ronaldo kule serie A anaongoza kukosa magoli mengi lkn ndo top scorer ....mi naimani akija yeyote Sawa Tu maana among top strikers top 5 wote hao tunaowahitaji hawakosi naona Kwa sahv Lukaku anafaa kuja tuDiet diet diet, aina ya vyakula wanavyopikiwa wachezaji Italia, ni vyakula vinavyotunza mwili, kuimarisha na sio kunenepesha.
Ndio maana kule Lukaku alipungua uzito na ndio maana wachezaji wa ligi ya Italia wanacheza mpaka umri mkubwa sana.
Sasa Lukaku akitua London kwenye mapochopocho akanenepa kama akiwa Man u (kimbao mbao kawa tukunyema) sura yetu tutaiweka wapi [emoji41]
Kiuchezaji Lukaku anakosa magoli mengi sana ya wazi, THE BLUES tunatengeneza chance nyingi sana za kufunga magoli tunahitaji serious finisher like Harry Kane, Haaland au Lewandoski.
Kiroba kile cha nini?, anaweza kwenda kweli na kasi ya wener yule.Kwann Lukaku hapana tupe Sababu?
Adama traore seriously??TT anawataka hawa hapa
Pia Harry Kane na Robert Lewandowski wako kwenye target ya Chelsea sambamba na Lukaku
- Adama Traore
- Declan Rice
- Lukaku
Alivyo Italy kapungua uzito Mzee...sio Yule wa unyumbuniKiroba kile cha nini?, anaweza kwenda kweli na kasi ya wener yule.
Naona report anamhitaji Kwa ajili ya kumchezesha mainly nafasi ya right wing back huenda akafaa kutokana na pace yake....lkn hizi zingine n tetesi za magazeti na vyombo vya habari huko ulayaAdama traore seriously??
Ktk kujenga timu pana usiseme Declan Rice atakuja kuchukua nafasi ya nani. Sisi sio Arsenal au Westham. Tunahitaji kujenga timu ya kushindana na Man City. Timu ambayo timu A au B inaweza kubeba makombe makubwa, Pesa ipo kwa hiyo wewe relax tu!Declan Rice achukue nafasi ya nani?
Lukaku hapana, kama tukimkosa Haaland, Kane, Lewandoski bora tuendelee kutumia wachezaji wetu wa sasa
Adama Traore hapana hizo nguvu zake azipeleke bundasliga.
Chelsea ni team ndogo kwa vigezo vipi...?Ktk kujenga timu pana usiseme Declan Rice atakuja kuchukua nafasi ya nani. Sisi sio Arsenal au Westham. Tunahitaji kujenga timu ya kushindana na Man City. Timu ambayo timu A au B inaweza kubeba makombe makubwa, Pesa ipo kwa hiyo wewe relax tu!
Lukaku ni mfungaji clinical na kwa kutumia nguvu zake analazimisha kufunga
Adama ni wingback mzuri ambaye atafanya pair nzuri sana na Reece James
Tukiwakosa akina Robert au Kane tumchukue Lukaku
Haaland achane nae yeye anataka timu kubwa, kashasema Chelsea ni timu ndogo
Anataka kwenda Man U, RM, Barca nk
Kamuulize Haaland, Sio maoni yangu. Mimi najua Chelsea ni timu kubwa.Chelsea ni team ndogo kwa vigezo vipi...?