Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Acha uongoMojaaaaa
Alieanzisha hii kitu mpuuzi sanaVar haijawahi kutupenda
Leicester tumeridhika na kombe. Hii ya leo ni majaaliwa litakalotokea litokee
Kao hata sub du shida nni wanao jua????
Sorry I mean kai harvet
Kwasababu james ni mwepesi na ana kasi kukabiliana na VardySijui kwanini Tuchel anamchezesha James back 3 halafu Azplicueta wingback
Hata sijui ngojea wajuzi watujuzeKwa mnao angalia mpira Kante kapatwa na nini?
Nimeona play score katolewa dakika 35[emoji24][emoji24][emoji24]
Moja bila. Rudiger ametutanguliza.Updates plz
2 nowMoja bila. Rudiger ametutanguliza.