Ila unatoaga maboko mara uonyeshe kikosi cha city cha uongo mara udai vitu vya uongo. Hivi hata unaangalia mpira? Unajua chelsea yuko nafasi ya ngapi? Jana tu umeona picha ya msimamo wa ligi leo umesahau kila kitu.Arteta ndio ana akili ndio maana yupo nafasi ya 10
Ungemwambia beki adake basiKepa kakosea wapi? Lile shuti hata angekaa nani haudaki. Ile velocity na angle sio mchezo. Makosa yalikuwa kwa refa maana beki iliisha relax wakijua kashika wazi kabisa!
Chelsea yuko nafasi ya 10 Arsenal yupo nafasi ya nne.Ila unatoaga maboko mara uonyeshe kikosi cha city cha uongo mara udai vitu vya uongo. Hivi hata unaangalia mpira? Unajua chelsea yuko nafasi ya ngapi? Jana tu umeona picha ya msimamo wa ligi leo umesahau kila kitu.
Omba tenda ya kufundisha chelsea
Kinabo mwingine huyu.Wewe unamtaka kocha wa aina gani?? TT unamfananisha na kocha gani EPL au mpira umeanza kuushabikia Juzi,Mapinduzi aliyoyafanya ndani ya chelsea umeyaona au unaupofu wa macho..Ukishaingia kwenye mtego mara moja watu wanatumia nafasi basi kwisha
Chelsea yuko nafasi ya 10 Arsenal yupo nafasi ya nne.
UCL TUNAPOTEZA SURESijui TT atakuja na speech gani tena yule
Kwa hii comment unajihesabu unaujua mpira?Tuwe serious. Unafungwa na Arsenal, unafungwa fainali ya FA na Leicester unaamini utaifunga City fainali ya UCL?
Siujui ndiyo maana nimeulizaKwa hii comment unajihesabu unaujua mpira?
TT ni kocha mzuri sana, Tatizo la chelsea ni umaliziaji.Kweli TT ameshaanza mambo ya Lampard. Mwache UEFA asichukue na atoke top4, akili ndio itamkaa sawa.
Basi umeuliza swali la kijinga.Siujui ndiyo maana nimeuliza
Mimi sijataka utumie hiyo kanuni kwasababu kwa kanuni hiyo nyinyi si mmetoka kumfunga? Nimetaka uangalie mechi mlizopoteza zilikua na tension gani na namna kocha wenu amezikabili na hii fainali kwa unavyomuona ni kweli mnashinda?Basi umeuliza swali la kijinga.
Mpira hauendi kwa kanuni hizo eti kwa sababu A anamfunga B na B anamfunga C basi A anaweza kumfunga C.
Otherwise kuna watu wangekuwa invisible.
Our next two games zitatuambia kama tunashinda fainali.Mimi sijataka utumie hiyo kanuni kwasababu kwa kanuni hiyo nyinyi si mmetoka kumfunga? Nimetaka uangalie mechi mlizopoteza zilikua na tension gani na namna kocha wenu amezikabili na hii fainali kwa unavyomuona ni kweli mnashinda?
Just a coincidence.....Terry huyu huyu alitukosesha kuchukua kombe alivo tereza katika kupiga peneti ya Man u.Chelsea have not won a single Premier League title without John Terry at the club. They've also lost 5 of our last 7 finals since he left the club.
Saka alipata goli hapa. Golini alikuepo huyo best unayemsema hapa.
Huyo naye ni kinabo tu.
Chelsea hamna kipa wa kuzuia lile shuti. Msijifariji.
View attachment 1786349
TTuchel anatakiwa apate mtu wa magoli sio akina Werner wanaofunga kwa kubahatisha.Nimekufatilia mda mrefu humu kwenye hili jukwaa sioni uchambuzi wako wowote zaidi ya mapenzi na timu yako ambayo huna cha kujivunia
Huwezi kupeleka lawama kwa Tuchel ambaye kaja kuifundisha Chelsea katikati ya msimu ikiwa ktk hali mbaya mpaka kuipeleka fainal
Vitu vingine ni bora ukawa kimya utaonekana wa maana kuliko kuandika upupu humu timu yako tu inakushinda kuchambua
It's only banter bro, no hard feelings.