Chelsea niwape twist of plot?
Mwishoni kabisa mwa msimu kinyume na matarajio yenu.
1. Mmeitema FA
2. Mtaitema top four
3. Mtaitema UEFA
Hapa ndio mtajua hamjui.
I thought you are too smart than this.Chelsea niwape twist of plot?
Mwishoni kabisa mwa msimu kinyume na matarajio yenu.
1. Mmeitema FA
2. Mtaitema top four
3. Mtaitema UEFA
Hapa ndio mtajua hamjui.
Huyu huyu Kante aliyecheza na Madrid?Hv ni mm pekee yangu nmemuona Kante kazingua kiasi.? Anapewa pasi mara tatu mfululizo tena akiwa pekee yake katikati ya uwanja akiwa hana adui wa kumpa shida lakini mpira unarudisha nyuma kwa kipa.
Nimekufatilia mda mrefu humu kwenye hili jukwaa sioni uchambuzi wako wowote zaidi ya mapenzi na timu yako ambayo huna cha kujivuniaMara ooh mara ya mwisho Arsenal kutufunga nyumbani tulichukua FA na Ucl.
Nawaambia humu hamna kocha wanaleta ubishi wa kitoto.
Hili la kwanza. Bado kwa City
Et TT alisema Kepa ametupeleka fainali hvy ni lazima acheze fainali.Mkuu sometimes makocha wanafeli wenyewe. Unajua unaenda kucheza Fainali then unamueka pazia golini. Inaumiza but ndiyo mpira. Alimwamini Kepa sasa apambane na hali yake
Aisee Kante wa real na huyu wa leo ni tofautiHuyu huyu Kante aliyecheza na Madrid?
Huyu ni kijana wao wanamjua vizuri hawa vijana wa King PowerAisee Kante wa real na huyu wa leo ni tofauti
Sipati picha mtu ambae anashabikia simba na chelsea anapitia magumu kiasi ganiMnaweza msibebe kombe lolote msimu huu,maana Pep.......
🤣🤣🤣atakuwa amelala saiziSipati picha mtu ambae anashabikia simba na chelsea anapitia magumu kiasi gani
Hivi unaweza pata usingizi kweli?🤣🤣🤣atakuwa amelala saizi
Mkuu mpira tu ukinyime usingizi? Labda hizi za kkoo ndiyo wengi wanakuwa na mawazo watarudije vijiweni baada ya tamboHivi unaweza pata usingizi kweli?
Nachukulia una uchungu na hasira. I will go easy on you.Nimekufatilia mda mrefu humu kwenye hili jukwaa sioni uchambuzi wako wowote zaidi ya mapenzi na timu yako ambayo huna cha kujivunia
Huwezi kupeleka lawama kwa Tuchel ambaye kaja kuifundisha Chelsea katikati ya msimu ikiwa ktk hali mbaya mpaka kuipeleka fainal
Vitu vingine ni bora ukawa kimya utaonekana wa maana kuliko kuandika upupu humu timu yako tu inakushinda kuchambua
Kepa Ni pazia sijui ilikuwaje akampangaEt TT alisema Kepa ametupeleka fainali hvy ni lazima acheze fainali.
Mi nasubiri UCL kuona itakuaje ila tangu jana ile speech ya TT basi ckuwa na imani na h fainali.Kepa Ni pazia sijui ilikuwaje akampanga
Niliposoma roster kepa yupo Basi nokajua tushafungwa[emoji849]a
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app