hahahhaa reading wamekula pilipili lazima mtu afe leo
Wenyewe wapo humu??? Koz huwa hawakaagi kwao hapa... wao ni thread za wenzao tuu....Naona Reading anatunisha msuli hapa...
Nimewauliza hapo juu mpoo? Naona kimya wapo kwenye thread ya arsenal kule wanatia majungu huku wanajua kimeshanukaa
Hazard apewe award ya ku dive na kuishindia Chelsea penalty! ... Walitucheka man utd leo naona kama zamu yao
Walitusema sana leo naona torez anaruka ruka ila ngoja tuone dakika 90?
Napita tu
haya ni half timeone kuwa second time jamaa watarudi ni aibu kuwa .. Bosi yupo halafu wanadhalilishwa kiasi hiki
Unaenda wapi? Kaa hapa uone vijana wanavyodhalilishwa kwao
Leo chelse wanalala!! Wap Peasant??
Huyu kipa wa reading FAMBA saaana.....
Duh! Huyu kipa anashindwaje kudaka mpira kama huo??
Magoli mpaka ya Offside!! Dah!
reading warudi tu walikotoka ! walikuwa washakamata masaburi ya chelsea .. wakapaki bus na kufanya sub ya kijinga! ... natamani sana man u vs chelsea tuwashikishe adabu hawa!
Torres scored... Can u believe it...??? Yeh... It was offside
Torres scored... Can u believe it...??? Yeh... It was offside
phill jones,smalling,clevery,chicharito,macheda,welbeck sio mediocre? Sorry nimemsahau Lindergaad kwa club kubwa kama Man Utd??? Au nae AF ni Mediocre?
Torres scored... Can u believe it...??? Yeh... It was offside
Subiri w.end ijayo ndio uyaongee haya!Torres = 1 goal
Arsenal (whole team) = 0
Subiri w.end ijayo ndio uyaongee haya!
Huyo Torres kaonewa tu huruma kupewa goli la offside!!
Kashengo umemsahau RobiVaMapesi, viongo mwenumwenu! Profesa Maji Marefu kavuna kivuno kawabambikia OldiTrafodi! Si ulimdekishia Mzee wa Bigiji akipagawa kamaa siku ile akiamini ufalme huku City wakipiga mtu bao? Wamebambikiwa kistuli, ngoja nimtumie Mzee Mzima pakiti nzima ya Wrigley's double spearmint aendelee kutafuna mpaka taya limwaike!
Tumewapa RVP kama User name na Password (song) tumepileka Barca hapo hamna Kitu
Hivi morinho angekua chelsea angemnunua victor moses? If hes that good mbona madrid barca man utd milan hawajamuulizia... Ndo maana mi naomba fergie akistaafu wasije wakamleta mediocre coach pale utd coz ndo ataanza kununua wachezaji wa ajabu.. Next year kama pep guardiola ataenda chelsea mnafikiri moses atapata namba? Kinachompeleka pale ni hela.. Can u really replace drogba with moses?