Hongera sana mkuu kwa kuchukua FA ...
Chelsea ina high sold defence ,haifungiki kabisa ...
dont underestimate the power of number "waliskika cheltako fc wakidokezana"Wakuu hongereni sanaa ..
Hata 2012 mlichukua FA historia inajirudia hata uefa manenda kubeba wakuuu....
Kweli ni moto mmempelekea mpaka katoka na kombe.Bado masaa 5 tumpelekee moto Leicester mpaka atoke uwanjani mwenyewe.
Ngumu mnooo.Kwasasa maombi yako yanaishia humu humu Lester kuchukua FA ni ngumu Sana
Kwakweli mchezo hamtaki kabisa awamu hii.Mh.kwa team hiii ya Chelsea atawaachia lingi tuuu ila makombe mengine awamu hi hatutaki mchezo
We usiyejua nilikwambia mnachemka fainali zote mbili.Nittingham forest ni mkubwa kuliko wewe.
Bila shaka mnabeba mkuu.Mkuu husiogope kombe tunabeba kesho