juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Mara ya mwisho kumfunga chelsea home n away ilikuwa ni wakat wa invincibleBwana mkubwa Arsenal ana vibonde vyake viwili united na chelsea. Kwahiyo mi haya matokeo sishangai
Umewahi kusikia kuhusu defense technic inaitwa high pressing?Bahati leo ilikuwa iko upande wenu, tofauti na kupark bus hakun chochote mlichokifanya,
Maana hata goli sio kama mmetengeneza ni error ya jorginho kurudisha kwa kipa
Hata nyinyi city, atletico na porto mliwafunga kwa bahati tu. Kikosi chenu ni dhaifu hakina uwezo wowote ule.Mara ya mwisho kumfunga chelsea home n away ilikuwa ni wakat wa invincible
Mara ya mwisho kutufunga home ni 2011-12
Nadhani hayo ndio mafanikio yenu kutufunga home and away msimu huu
Ila leo bahati ilikuwa upande wenu same to VAR,
Angalia chance tulizocreate katika hizo game, halaf useme ni bahati,Hata nyinyi city, atletico na porto mliwafunga kwa bahati tu. Kikosi chenu ni dhaifu hakina uwezo wowote ule.
Umewahi kusikia kuhusu defense technic inaitwa high pressing?
Au gegenpress?
Mchezaji anaona hana pa kupeleka mpira anaurudisha nyuma, usidhani ni bahati ni mipango. Liva tushampiga goli la hivyo, Villa, Rennes, United so usidhani umebahatishwa.
Tumechukua points Sita kutoka kwa hao mbuzi
Siki nimekujibu hivyo kwasababu naona umefocus kwenye shombo.Angalia chance tulizocreate katika hizo game, halaf useme ni bahati,
Hahaha huku unasema kikosi chetu ni dhaifu kule kwenye thread yenu unasema ukitoa man city ni chelsea ndio yenye kikosi ambacho ukitoa mtu na bado hakuna tofauti,
Sijafocus kwenye shombo,Siki nimekujibu hivyo kwasababu naona umefocus kwenye shombo.
Goli halina creators, goli limetokana na high pressing, Auba katoa assisst kwa Emile. Arsenal imetengeneza chansi 1 na hiyo hiyo ndiyo goli nyinyi mmetengeneza mbili zote mmemiss.Sijafocus kwenye shombo,
Naona unamuumbua anajitoa ufahamu na Hilo kauli yake kwenye thread yaoAngalia chance tulizocreate katika hizo game, halaf useme ni bahati,
Hahaha huku unasema kikosi chetu ni dhaifu kule kwenye thread yenu unasema ukitoa man city ni chelsea ndio yenye kikosi ambacho ukitoa mtu na bado hakuna tofauti,
Hata nyinyi city, atletico na porto mliwafunga kwa bahati tu. Kikosi chenu ni dhaifu hakina uwezo wowote ule.
Wanacheza kwa morali tu hao hawana maajabu yoyoteKikosi chao hakina key player kama timu zingine,ukisema tu unamuwaza mchezaji fulani kama Spurs na kane na son,Liverpool na vvd,salah na mane.arsenal na auba.man u na Fernandez.namna walivyosasa hivi hawana mchezaji wa kuchukua balon do hapo.
Timu ikikosa hao watu ,ndio tunashangaa eti kafungwa na Arsenal?
Wamefungwa hawataki kukubali wao ni wakawaida sana tu. Kikosi chao hakitishi kabisa.
Watu hawa watatu wametuuza, Zouma na back passes zake za kijinga, Kepa na Jorginho nao hawakuwa serious, unaachaje goli limeachama bila sababu yeyote, unatoaje pasi bila hata kuangalia hiyo pazi inamuendea nani. Hii timu mimi sikuwa na imani nayo, ni Tuchel tu ndie alikuwa na imani nayoTimu ya mauaji leo
Werner werner na katika hizi mechi sio ya kuwapa akina Kepa, Inaweza wapa nguvu hao washika manati
View attachment 1782506
We ni mnafiki huna lolote, usingekuwa mnafiki ungesoma post yoteAcha unafiki.
Umetoka kuiita timu ya mauaji hata nusu saa haijaisha
Huyu Zouma hafai kuichgezea Chelsea hajifunzi kama nyumbu tuZuma, Jojinyo na kepa wameshatuchoma.
But cha tatizo ni Zuma