Tuwekeeeni zile tackle za Zouma hapa jamani, Zouma is the risk taker
OK chukuen CL sasa ...
Chukueni FA ..
Team imejaa vilaza tuu ,hayajui mpira ..
Ni kulopoka tuuu , ..
Nishasema bado tunanafasi kubwa tu CL kama mnaona nyie mnastahili kuchukua CL nenden mkachukue hata saizi kenge nyie
Bwege lingine hill hapa
Empty headed
Zero brain
Hujui lolote kuhusu mpira
Kalale
Mkuu ushabiki haupo ivo. Ushabiki ni pale unapokubaliana na hali pamoja matokeo. Timu yako ikizidiwa tactic kubali then jiandae na mechi inayofata[emoji23].OK chukuen CL sasa ...
Chukueni FA ..
Team imejaa vilaza tuu ,hayajui mpira ..
Ni kulopoka tuuu , ..
Nishasema bado tunanafasi kubwa tu CL kama mnaona nyie mnastahili kuchukua CL nenden mkachukue hata saizi kenge nyie
Huyu hawezi matani ya mpira Bora akae zake chini tu atulie[emoji3][emoji3]dg tulia umepaniki kama kuna maji y bomba karibu yako hapo kimbia na kikombe fasta upoze hasir
Kwakweli arudi Kule kwao. Hapo anatamani ahamie Chelsea [emoji3][emoji3]Unapata wapi kibali cha kucomment hapa wewe underdog? Rudi kwenye uzi wako mkajazane ujinga huko
Na ukizubaa tunachukua hatuna masiara kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Takataka nyingine hii hapa
Empty headed
Zero brain ..
Chukueni hiyo CL na FA mkuu
Hakukaa miaka 30 kama Mashabiki wa Liverpool, kwa hiyo hana ukomavu wowote, Kaanza kuishabikia Man City juzi tu kipindi cha PEPHuyu hawezi matani ya mpira Bora akae zake chini tu atulie[emoji3][emoji3]
Chelsea huku raha tu nimependa namna alivyofurahia ushindi.Checki Mr. P alivyosherehekea ushindi wa Chelsea dhidi ya Real Madrid
Mkuu huoni madhara ya over confidence? Over confidence husababisha ku-underrate opponent wako.Ndio maana timu kubwa kama Chelsea inatakiwa kuwa na timu A na B zenye uwezo unaofanana, timu C ndio iwe ya Karabao cup NK
Kumbuka pia sio wachezaji wote wanaochoka, mimi naona kuanzia mabeki wa pembeni, viungo na washambuliaji ndio wanaochoka kwa sababu wanakuwa busy sana kila saa, Kipa na CB wanaweza wakawa walewale. Kwa hiyo TT anaweza kuwarotate wachezaji wanaoonekana wamechoka au kufululiza kucheza sana kama jana alivyofanya kwa Mount, Benchilwell, Havertz na Silva hata benchi hawakuwekwa
Kwa rotation hii timu inakuwa fresh kila mechi
Zimebaki za ligi tatu tu, hiyo ya Leicester city ni mechi ndogo kwa sababu LCFC hawana timu pana na wataingiza wacheza wamechoka na kuwa na confusion kubwa kwa sababu ya kutolewa top 4 na hivyo tutajipigia kirahisi tu. Mechi na City UCL wataingia wakiwa na hofu ya kufungwa mechi mbili mfululizo na sisi tutaingia tukiwa na confidence na uchu wa kunyanyua Ndoo kubwa yenye heshima Ulaya ambayo akina Bayern, Real Madrid, PSG na wao City wanaimezea mate
Kwa hiyo kiufupi ni kwamba Mendy ana akili sana kwenye nafasi yake!Naomba nitoe angalizo hapa kuhusu ile penalti ya Aguero
Aguero hakupiga ile penalti vibaya au kwa bahati mbaya, alipanga tena sio chini ya wiki kuwa akipata fursa ya kupiga penalti atatumia mtindo huo ili kuiaga Man City kwa mbwembwe za staili ile.
Wachambuzi wengi wa mpira akiwemo Michael Owen amesisitiza kuwa ile penalti ilipigwa vizuri japo yeye Owen hakuipenda ile penalti na angekuwa yeye ndie mpigaji asingepiga penalti kama ile
Kuna staili kama tatu za za kupiga penalti
Sasa jana Aguero yeyealiamua kutumia staili ile ya kwanza kwa kuuchupa mpira kwa kitaalamu inaitwa "Panenka Penalty" inaitwa pia Spoon style yaani penalti ya kijiko akitegemea Mendy angedive ila Mendy alisita kudive na ndio maana akaudaka kwa urahisi tena kwa mkono mmoja wa kushoto ili kuonyesha madharau kwa sababu mtindo kama huu huwa ni mtindo wenye lengo la kumzalilisha kipa. Makipa wanaujua huo mtindo na Mendy alihisi Aguero angeutumia huo mfumo ambao kihistoria umetumiwa na Legend wa Man City aitwaye Billy Meredith miaka 70 kabla ya Antonio Panenka kuutumia katika mashindano ya UEFA ya mwaka 1976.
- Kuna penalti ya kumhadaa kipa na kupiga upande tofauti, hizi huwa haitumii nguvu nyingi - mfano zile penalti za Jorginho
- Kuna penalti za kupipiga shuti la nguvu ili hata kipa akiifuata asiweze kudaka - Kane anatumiaga sana hii
- Kuna penalti za kutumia staili namba 1 na 2 kwa pamoja
Maelezo zaidi nimeweka hapo chini
Tafsiri ya hiyo Penalti
Panenka is a technique used while taking a penalty kick in which the taker, instead of kicking the ball to the left or right of the goalkeeper, gives a light touch underneath the ball, causing it to rise and fall within the centre of the goal, deceiving the goalkeeper who is counted on by the taker to have guessed a side and committed a dive away from the centre. It was first believed to have been used by Czech player Antonín Panenka, who introduced this technique to the world in the 1976 UEFA European Championship final, when he beat West German goalkeeper Sepp Maier to claim the title for the Czechoslovakian national team.
Kwa amneno ahya hata ile Twitter ya Aguero ya kuomba msamaha isingestahili ndio maana hata PEP alipoulizwa kuhusu hiyo penalti ya Aguero alisema ni maamuzi yake hakuseme kwa maneno mengi. Akijua kuwa Aguero alifanyia hadi mazoezi ya kupiga penalti kama ile
Kwa ufupi au kuhitimisha, mfumo wa kumhadaa kipa yaani mtindo ule namba moja una riski nyingi na sio mtindo mzuri wa kupiga penalty na ni mfumo wenye lawama nyingi kama penalti imekataa
Hakuna mtu aliyetaja over confidence ila wewe pekee yako, Confidence inatakiwa ili ushinde ila sio over-confidence hiyo ni yako nduguMkuu huoni madhara ya over confidence? Over confidence husababisha ku-underrate opponent wako.
Sasa mtu anaposema makombe ya FA na UCL yanakuja darajani ni aina gani ya confidence hiyo? Jambo la msingi ni kwamba kocha na wachezaji wa ze bluz wanajitambua na wanaelewa bado kuna kazi kubwa mbele.Hakuna mtu aliyetaja over confidence ila wewe pekee yako, Confidence inatakiwa ili ushinde ila sio over-confidence hiyo ni yako ndugu
HONGERENI THE BLUES
WANAWAKE TUMENYANYUA NDOO TAYARI HUKO KWENYE WOMEN SUPPER LEAGUE BAADA YA KUWACHABANGA READING BAO 5-0
BADO UEFA NA BAYERN MUNICH
View attachment 1779077