Unasemaje mpaka hapo??? Wewe ni kichaa square! Kwenye mashindano ya UEFA city ni underdog Kwa Chelsea, pale istanbull kipara kitaota nyasi!Mimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...
Chelsea ni underdog kwa city ,mfano mzuri itakuwa jmoss ..
Final uefa ,Chelsea vs city ,Chelsea ni underdog tu
Kweli mkuu. Tempo yao haikuwa ile tuliyozoea kupata raha. Niliangalia mechi hadi pale Aguero alipompasia penati Mendy, nikaenda kufanya mambo mengine.Madrid - Jumatano
City - Jumamosi
Arsenal - jumatano
Leicester - Jumapili
Leicester - Jumatano
Villa - Jumamosi
Wachezaji wetu wanachoka balaa.
Mechi ya jana wachezaji walicheza kwa style ya kupoozesha mwili.
Hiv umeanza kuangalia au kufatilia mpira mwaka gan nina wasi wasi kuwa ww ni shabiki wa arsenal ulie amua kujiriwazia man cty ww huyo kipepeo chako hamuwezi TT HATA KIDGO rudi kwa arteta ndio kocha wako huku utaumia sana wenzako sie tukiingia FINAL HATUNA MASIHARA TUNA FANYA YETU THEN KIMYA PIGA KELELE SSA WWKupoteza hii match ni nzuri zaidi kwa city kuliko tunge win ...
Huenda tungeshinda ,tungejipa matumaini hewa juu ya final ,but pep ametoka na kitu kuhusu hii game ..
Yes mmetufunga fa ,EPL consecutively ,but bado tuna nafis zaidi kukutana final..
Kwa upande wetu hii match haina madhara yeyote ,ila imetupa onyo 29 may ....
Come on cityzen
Namuona arteta anavyotetemekaRatiba ngumu ipi hiyo? Tuna Arsenal, Lecester na A.villa. hapo hakuna mechi ngumu hata moja.
Anatoka hapo coz arteta tunamfanyia interview mapema sanaHuyu Nyumbu United tukicheza vizuri tunamahusha hapo nafasi ya pili
OK chukuen CL sasa ...Hiv umeanza kuangalia au kufatilia mpira mwaka gan nina wasi wasi kuwa ww ni shabiki wa arsenal ulie amua kujiriwazia man cty ww huyo kipepeo chako hamuwezi TT HATA KIDGO rudi kwa arteta ndio kocha wako huku utaumia sana wenzako sie tukiingia FINAL HATUNA MASIHARA TUNA FANYA YETU THEN KIMYA PIGA KELELE SSA WW
Ume panic mkulungwaOK chukuen CL sasa ...
Chukueni FA ..
Team imejaa vilaza tuu ,hayajui mpira ..
Ni kulopoka tuuu , ..
Nishasema bado tunanafasi kubwa tu CL kama mnaona nyie mnastahili kuchukua CL nenden mkachukue hata saizi kenge nyie
Ndio maana timu kubwa kama Chelsea inatakiwa kuwa na timu A na B zenye uwezo unaofanana, timu C ndio iwe ya Karabao cup NKMadrid - Jumatano
City - Jumamosi
Arsenal - jumatano
Leicester - Jumapili
Leicester - Jumatano
Villa - Jumamosi
Wachezaji wetu wanachoka balaa.
Mechi ya jana wachezaji walicheza kwa style ya kupoozesha mwili.
Mkuu chukua hata saizi ..Na tutachukua UCL mchana kweupeeeee.
Hawezi kupata chance nyingine aguero ,anajutia alichofanya so far ..Naomba nitoe angalizo hapa kuhusu ile penalti ya Aguero
Aguero hakupiga ile penalti vibaya au kwa bahati mbaya, alipanga tena sio chini ya wiki kuwa akipata fursa ya kupiga penalti atatumia mtindo huo ili kuiaga Man City kwa mbwembwe za staili ile.
Wachambuzi wengi wa mpira akiwemo Michael Owen amesisitiza kuwa ile penalti ilipigwa vizuri japo yeye Owen hakuipenda ile penalti na angekuwa yeye ndie mpigaji asingepiga penalti kama ile
Kuna staili kama tatu za za kupiga penalti
Sasa jana Aguero yeyealiamua kutumia staili ile ya kwanza kwa kuuchupa mpira kwa kitaalamu inaitwa "Panenka Penalty" inaitwa pia Spoon style yaani penalti ya kijiko akitegemea Mendy angedive ila Mendy alisita kudive na ndio maana akaudaka kwa urahisi tena kwa mkono mmoja wa kushoto ili kuonyesha madharau kwa sababu mtindo kama huu huwa ni mtindo wenye lengo la kumzalilisha kipa. Makipa wanaujua huo mtindo na Mendy alihisi Aguero angeutumia huo mfumo ambao kihistoria umetumiwa na Legend wa Man City aitwaye Billy Meredith miaka 70 kabla ya Antonio Panenka kuutumia katika mashindano ya UEFA ya mwaka 1976.
- Kuna penalti ya kumhadaa kipa na kupiga upande tofauti, hizi huwa haitumii nguvu nyingi - mfano zile penalti za Jorginho
- Kuna penalti za kupipiga shuti la nguvu ili hata kipa akiifuata asiweze kudaka - Kane anatumiaga sana hii
- Kuna penalti za kutumia staili namba 1 na 2 kwa pamoja
Maelezo zaidi nimeweka hapo chini
Tafsiri ya hiyo Penalti
Panenka is a technique used while taking a penalty kick in which the taker, instead of kicking the ball to the left or right of the goalkeeper, gives a light touch underneath the ball, causing it to rise and fall within the centre of the goal, deceiving the goalkeeper who is counted on by the taker to have guessed a side and committed a dive away from the centre. It was first believed to have been used by Czech player Antonín Panenka, who introduced this technique to the world in the 1976 UEFA European Championship final, when he beat West German goalkeeper Sepp Maier to claim the title for the Czechoslovakian national team.
Hata hivyo Aguero ameshaaga mnamtakia nini tena, na akija Chelsea atawaliza sana hata kama akipewa dk chacheHawezi kupata chance nyingine aguero ,anajutia alichofanya so far ..
Navomjua pep ,huyo aguero hata bench hataliona CL final ..
Hizo media zimekuwa zikimshambulia pep kiwa why hawachezeshi kina sterling ,aguero ,jesus uefa ,ila watakuwa wamepata majibu ...
Pep amejitahid sana kuwawapa nafasi waoneshe uwezo ,ili wachezeshwe CL wameshindwa ,..
Ndio maana wanaingia uwanjan wanaume wakiwa wameshamaliza kazi ..
Mpira wa striker mmoja kukaa mbele kusubili wamrushie mpira ushapitwa na muda ...Hata hivyo Aguero ameshaaga mnamtakia nini tena, na akija Chelsea atawaliza sana hata kama akipewa dk chache
Man city ninyi wapuuzi kweli kweli. Mafanikio mlionayo ni kwa sababu ya Aguero
Aguero amekuwa na respect na timu, alipewa ofa nyingi kwenye klabu kub wa akaamua kuwa mwaminifu kwa Man City ila nyie mnataka kumlipa hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapata wapi kibali cha kucomment hapa wewe underdog? Rudi kwenye uzi wako mkajazane ujinga huko
Kilaza mwenyewe kabla sijasahau, kila siku unajipitisha na kanga 1 hapa lakini bado haulipi au unamuonea sana wivu Guardiola anavyochachafwa vichapo na TT?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nikasema wewe ni kilaza ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilaza mwenyewe kabla sijasahau, kila siku unajipitisha na kanga 1 hapa lakini bado haulipi au unamuonea sana wivu Guardiola anavyochachafwa vichapo na TT?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kwa city kuliko tunge win ...
Huenda tungeshinda ,tungejipa matumaini hewa juu ya final ,but pep ametoka na kitu kuhusu hii game ..
Yes mmetufunga fa ,EPL consecutively ,but bado tuna nafis zaidi kukutana final..
Kwa upande wetu hii match haina madhara yeyote ,ila imetupa onyo 29 may ....
Come on cityzen
Bwege lingine hill hapaWe nguruwe tafuta namna ya ku unlock defense ya Chelsea kwanza.