juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Madrid alianza na 433Mbona jana Madrid karudia 3 5 2.
Ila haya ni maajabu nimeyaona juzi kwa Blackpool na Doncaster na jana. Yaani timu inamiliki mpira kwa zaidi ya 60% ila inazidiwa mashuti na inapigwa vyuma viwili
Utakuwa na akili mbovu kuita Chelsea underdog mbele ya city.Mimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...
Chelsea ni underdog kwa city ,mfano mzuri itakuwa jmoss ..
Final uefa ,Chelsea vs city ,Chelsea ni underdog tu
Yaani mbele kwa sasa ukiwaweka Mount, Kai na Pulisic mpira unafurahisha na wote wadogo, magoli yote jana yalipatikana kwa akili, Kai alivyomhadaa Courtois na Pulisic alivyompenyezea mpira Mount kwa goli la pili ni raha tupuKai dogo ana akili nyingi, ukimkaba kichwa kichwa unakula tobo, dogo ana enjoy sana kucheza mpira, anaurahisisha mpira, mbunifu na confidence ya hali ya juu kwenye umiliki wa mpira.
Man City hawakutaka kukutana na Chelsea kabisa. Yaani wao walikuwa wanaona ni bora wakutane na Madrid lkn sio Chelsea. Sasa wamekutana nayo. Kz wanayoTT alisema kila timu inaogopa kukutana na Chelsea wakambeza, sasa katinga fainali na Man city tumbo joto
Sidhani.Mbinu
Mbinu
Mbinu
TT Master of Tactics
Hapana mzee game inaanza mwanzo mwisho ni 3 5 2Alirudi baada ya kuona yuko ktk hatari ya kufa nyingi baada ya kuona 4+3+3 inamletea madhara. Tena ata alivyorudi akachemka tu...
Mbona Timo humtaji? Ha ha ha ha ha... Jana Werner kaondoa nuksi kila mtu sasaivi anamuona Werner ni mtamu sn....Yaani mbele kwa sasa ukiwaweka Mount, Kai na Pulisic mpira unafurahisha na wote wadogo, magoli yote jana yalipatikana kwa akili, Kai alivyomhadaa Courtois na Pulisic alivyompenyezea mpira Mount kwa goli la pili ni raha tupu
Unajitahita sana uko peke yako kwenye page yetuMimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...
Chelsea ni underdog kwa city ,mfano mzuri itakuwa jmoss ..
Final uefa ,Chelsea vs city ,Chelsea ni underdog tu
Hilo halina shaka Warner ana improve kila mechi kwahiyo atakua mfugaji mzuri hivi karibuniMbona Timo humtaji? Ha ha ha ha ha... Jana Werner kaondoa nuksi kila mtu sasaivi anamuona Werner ni mtamu sn....
Nyiee [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1774783
Nimeanza kumuelewa TT kwanini anakomaa kumpanga tu kila mechi Werner... Sasaivi kabadilika sn. Kwanza anajiamini sn na anakimbia vibaya sn.Hilo halina shaka Warner ana improve kila mechi kwahiyo atakua mfugaji mzuri hivi karibuni
Sikuungi mkono kwa maoni yako haya ya kuwa wachezaji wanne tu ndio walioleta ushindiMatch ya Chelsea Jana ni watu wanne walioipa ushindi
Silva, Rudiger, Kante na Kai
Kwa sasa chelsea wanakosa Finisher yule Timo ni kiungo zaidi kuliko mshambuliaji Jana angeanza giroud habari ingekuwa nyingine au chelsea wangekuwa na Aguero mechi ingeisha mapema tu
Mimi nawashanga baadhi ya mashabiki kazi aliyofanya jana Mendy hawaioni, asingefanya save muhimu kama hizi, zile goli mbili zisingesaidia kitu
Wewe hujui maana ya underdogMimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...
Chelsea ni underdog kwa city ,mfano mzuri itakuwa jmoss ..
Final uefa ,Chelsea vs city ,Chelsea ni underdog tu
Sina wasiwasi na timu kama chelsea ,underdog ..
Mpaka sasa uefa imeshatua city