Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kova bado yuko Injury, nafasi yake atachukua Jorginho
 
Madrid wenzangu mpo?

Ramos kapona, tumempumzisha Kroos na Modric game iliyopita ili waje kuuwasha moto huku.

Benzema yupo fit.

Marcelo kaonyesha uhai left wing game ya juzi na Osasuna.

Vinicius speed yake ni hatari.

Leo tunapiga chuma tatu.
CFC
 
Kumbe benzema alishawahi kuboma daraja LA London [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kovacic si ni injury?
 
Ederson

Zincheko

Walker

Stone

Foden

Gundo

Mahrez

Bernardo sliva

Arguero

Hao uliwaona kwenye game ya FA ?

Mbona unakaza ubongo
Hao wachezaji wote na wale waliocheza na Chelsea wamekuwa wakifanyiowa equal rotation na kocha wewe hata ufuatilii timu yako
 
Hao wachezaji wote na wale waliocheza na Chelsea wamekuwa wakifanyiowa equal rotation na kocha wewe hata ufuatilii timu yako
Ndio maana nikasema wewe ni takataka ...

Hujui lolote kuhusu city ,endelea kufuatilia hili genge la darajani tu
 
Hatutaki visingizio....waje wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…