Ikiwa tutamuuza tammy basi tusisahau kuweka kipengele cha buy back, ili tukiangalia mwenendo wake huko utakuajeChelsea isifanye makosa Tena kwa muuza Tammy Abraham bado namuona Tammy Abraham ni mchezaji mzuri kocha amuamini kama anavyomuamini Werner atatulipa.Kuna watu wametengeneza scenario kwamba Tammy Abraham hawezi kucheza under TT lakini wanajisahau kwamba Tammy kafunga magoal mengi ya counter attack kwa Giroud sawa yupo slow so hawezi kucheza chini ya TT lakini si kwa Abraham tatizo ni kutopewa nafasi za kucheza lakini Tammy ni mzuri kujiposition na ni clinical finisher mzuri na ana kasi na anajua kukimbia behind ya defenders
Cash Money Forever
Antonio Conte
Hazard CFC
hazard Don
lembu
Mkohoti
Ni wakati wao,kumbuka pia misimu iliyopita soka la Hispania lilitawala Ulaya, so ni mambo ya kupokezana. Natumai na soka la Italy wakiendelea hivi misimu ijayo itakuwa zamu yao.Pain Killer popote ulipo nakupa Ongera kubwa. Mmecheza soka kubwa mno. Mbape na Neymaa hawakuwa na Chao. Ongereni sana. Soka la uingereza linazidi kudhiirisha ubora wake katika ulimwengu wa Soka
Tammy kwa sasa mi naona bado utoto mwingi, labda atolewe kw mkopo.Chelsea isifanye makosa Tena kwa muuza Tammy Abraham bado namuona Tammy Abraham ni mchezaji mzuri kocha amuamini kama anavyomuamini Werner atatulipa.Kuna watu wametengeneza scenario kwamba Tammy Abraham hawezi kucheza under TT lakini wanajisahau kwamba Tammy kafunga magoal mengi ya counter attack kwa Giroud sawa yupo slow so hawezi kucheza chini ya TT lakini si kwa Abraham tatizo ni kutopewa nafasi za kucheza lakini Tammy ni mzuri kujiposition na ni clinical finisher mzuri na ana kasi na anajua kukimbia behind ya defenders
Cash Money Forever
Antonio Conte
Hazard CFC
hazard Don
lembu
Mkohoti
Utoto wa Tammy unaweza kuifananisha na wa werner?Tammy kwa sasa mi naona bado utoto mwingi, labda atolewe kw mkopo.
Wener ni kutokujiamni ndio kunamsumbua, anakosa goli unaona na yeye jinsi anavyoumia kukosa, sio tammy anakosa then anacheka huku anangalia camera kistaa.Utoto wa Tammy unaweza kuifananisha na wa werner?
?
Wewe una chuki binafsi na Tammy ngoja kocha ampe nafasi utaanza kumuimba humuWener ni kutokujiamni ndio kunamsumbua, anakosa goli unaona na yeye jinsi anavyoumia kukosa, sio tammy anakosa then anacheka huku anangalia camera kistaa.
Tammy ni mchezaji mzuri, anahitaji kocha mzuri tu wa kumtia moyo na kumfundisha mbinu za kuscore hasa magoli ya kichwa ili autumie urefu wake vizuriWewe una chuki binafsi na Tammy ngoja kocha ampe nafasi utaanza kumuimba humu
Uko sahihi, sio lazima Werner awe mfungaji. akicheza wide winga ni mzuri hukoWauzwe Abraham, Giroud & Batshuayi
Werner Asiuzwe bali asajiliwe Harry Kane.
Werner/Pulisic - KANE - Mount/Ziyech
Kuna kilio kikuu kinakuja kama Abraham atauzwa.Wauzwe Abraham, Giroud & Batshuayi
Werner Asiuzwe bali asajiliwe Harry Kane.
Werner/Pulisic - KANE - Mount/Ziyech
Sio kirahisi hivyoWerner anawakasirisha wenzake
Ile pasi nzuri ya Pulisic imekuwa gumzo na sasa wengi wanadai Werner hafai tena kumtetea
Ubovu wake hauvumiliki sasa
Tumuuze Timo Werner
Werner hajakomaa kiufungajj lakini anatusaidia kutengeneza pasi za mwisho kwa kufungaUko sahihi, sio lazima Werner awe mfungaji. akicheza wide winga ni mzuri huko
Labda watalia mashangazi zako na wewe ambae ni basha ako.Kuna kilio kikuu kinakuja kama Abraham atauzwa.
Sio chuki. Abraham bado sana. Kuliko uwe na abraham 10 bora uwe na wener mmoja.Wewe una chuki binafsi na Tammy ngoja kocha ampe nafasi utaanza kumuimba humu
Hahahaha ........... bora na wewe umeliona hilo. Ngongoti yule kichwa box. Westham watupe tu huo mpunga tuwauzie mbuzi kwnye gunia.Hahahaha[emoji23]
Abraham taller hakuna kitu, ni mchezaji wa level ya championship huko na sio wa level ya THE BLUES chini ya TT mpira wa level ya mabingwa wa dunia.
Kumpanga Abraham uwanjani ni kuamua kucheza pungufu.