Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
umeziona?Unaambiwa Thomas Tuchel Mbinu alizowapa wachezaji wake leo ni balaa tupu so mkae kwa kutulia
Mkuu hatupaswi kutegemea matukio kama hayo ili tupate ushindi wao. We need to win because of our strength and not because of their weaknessesMzozano wa Rais wa UEFA na Rais wa Real Madrid unaweza kutupa fursa nzuri ya kushinda kesho kwa sababu inavyoonekana, kocha wa Real Madrid na wachezaji hawako settled kabisa. Matokeo ya hivi karibuni kwenye Laliga ni mojawapo ya evidence kwamba Madrid hakuko shwari
Sina undugu na Chelsea mimi ...Ume hama man City?
Leo tunakula Yange yange wa kubanika leo.Mkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...
Hii takataka Chelsea ndio imfunge Madrid kudadddddddeki ..!
Andaeni tu. Ila andaeni mkijua mchimba kaburi...Tuandae kaburi au tusubiri kidogo?View attachment 1765845
Shifti vipi na nishasema mnakufa.
Si unaona umekuja kapotea. Shift yake imeisha. Zamu yako sasa. Ila kufa hafi mtu 🤣Shifti vipi na nishasema mnakufa.
Ila kitoabu kapotea kweli jamani
Nyinyi leo mnakufa hilo siyo la kuulizaSi unaona umekuja kapotea. Shift yake imeisha. Zamu yako sasa. Ila kufa hafi mtu 🤣
Tunajitafunia yange yange wa kubanikaNyinyi leo mnakufa hilo siyo la kuuliza
Mnakufa kuanzia goli tatuTunajitafunia yange yange wa kubanika
Kama umebeti ushaliwa!Mnakufa kuanzia goli tatu
Tupo hapaKama umebeti ushaliwa!