Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,116
Tangu tukutungue FA CUP naona bado unawewesekaAcha upimbi Moira hauchezwi kwenye maneno ..!
Binafsi naiona Chelsea ikichezea kipigo mbele ya madrid
kama haitumii MB MB hapo sawaWAPENZI WA SIMBA (NA WANA SOKA WOTE) AMBAO MKO MBALI NA TV ZENU/MABANDA UMIZA, karibuni niwapatie app ya azam tv mjionee soccer live na vipindi vingine vingine from azam tv channels.
Ni rahisi kujiunga
Gharama ni Tshs elfu 6000.
Ukijiunga leo haujiungi tena wala kulipia tena.
Kwanza kabisa nikupe pole na nikuhakikishie kwamba Madrid hii awana uwezo wa kuifunga Chelsea ya Thomas Tuchel..... Save hii alafu tukutane baada ya DK 90Acha upimbi Moira hauchezwi kwenye maneno ..!
Binafsi naiona Chelsea ikichezea kipigo mbele ya madrid
Sijakuambia yeye angefika level za Drogba ila nachomaanisha Costa angebaki angetusaidia Sana.Dah! Mnyama Didier Drogba costa asingeweza kufikia level za Didier Chelsea.
Drogba ilikuwa akipata mpira ndani ya 18 unahesabu.
Didier Drogba The Legend of Chelsea.
Absolutely 👏👏Kwanza kabisa nikupe pole na nikuhakikishie kwamba Madrid hii awana uwezo wa kuifunga Chelsea ya Thomas Tuchel..... Save hii alafu tukutane baada ya DK 90
Mkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...Kwanza kabisa nikupe pole na nikuhakikishie kwamba Madrid hii awana uwezo wa kuifunga Chelsea ya Thomas Tuchel..... Save hii alafu tukutane baada ya DK 90
Kama unataka kuvua Nguo kwa sababu zako binafsi naomba usiisingizie ChelseaMkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...
Hii takataka Chelsea ndio imfunge Madrid kudadddddddeki ..!
Mkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...
Hii takataka Chelsea ndio imfunge Madrid kudadddddddeki ..!
Tunaomba usikimbie tu uzi baadaeMkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...
Hii takataka Chelsea ndio imfunge Madrid kudadddddddeki ..!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama unataka kuvua Nguo kwa sababu zako binafsi naomba usiisingizie Chelsea
Duh! Kwa muda mchache wa kuwa Chelsea tayari amefikia hizo mechi? Dah kuna watu Wana kismart aiseeMason Mount ana miaka 22 tu na leo anashirika mechi yake ya 100 na Chelsea akiwa na mafanikio makubwa sana
Ume hama man City?Leo rungu linapita humu kutembeza kichapo
Madrid come on