Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu ndio kocha Bora apangi mtu ilimradi tu
 
Tena na timu yako City next week tunakuja kukupiga tena hapo hapo Etihad ndio ujue sisi hatuna utani. Yaani City lazima tumchabange mara ya pili....
Katika timu ambayo sioni ikibaku top 4 no Chelsea ..

Sioni kabisa hii timu ikibaki top 4 poleni sanaa
Tena na timu yako City next week tunakuja kukupiga tena hapo hapo Etihad ndio ujue sisi hatuna utani. Yaani City lazima tumchabange mara ya pili....
 
Mzozano wa Rais wa UEFA na Rais wa Real Madrid unaweza kutupa fursa nzuri ya kushinda kesho kwa sababu inavyoonekana, kocha wa Real Madrid na wachezaji hawako settled kabisa. Matokeo ya hivi karibuni kwenye Laliga ni mojawapo ya evidence kwamba Madrid hakuko shwari
 
Kweli mkuuu
 
Kwanin Chelsea hawezi kubaki top 4..

Anaenda kupoteza point mbele ya

Man city

Lecister city


Unajua mnakataa hapa ,ila kimoyomoyo mnajua mziki wake ..

Poleni sana wakuu
We nimeshakutafuna, ukae tu kwa kutulia. Sio vizuri kumuombea mwanaume wako mabaya. Mdomo wako utakuponza nikutafune tena ohooo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…