Sisi man city tunataka epl na uefa ...Malengo makubwa matatu ambayo Chelsea inatakiwa kufikia hadi mwishoni mwa May 2021 ambazo ni
Man City wao malengo yao ni manne
- Kushinda kombe la UEFA - Muhimu sana
- Kupigania kubaki kwenye top 4 ya EPL - Ya pili kwa umuhimu
- Kushinda kombe la FA - Ya tatu kwa umuhimu
- Kushinda kombe la UEFA
- Kushinda kombe la EPL
- Kushinda kombe la FA
- Kushinda kombe la mbuzi - Karabao Cup
Line up ni nzuri.Hi lineup ya TT inamanisha nini draw au win View attachment 1754690
Naona TT ameamua tutumie counter attack, kwahiyo lineup atutakua na possession itakua 45% kwahiyo mancity watadominant possession.Hi lineup ya TT inamanisha nini draw au win View attachment 1754690
Naona Tuchel kaamua kumtupa Cabarello. Last time alikuwa na form kuliko Kepa. Halafu Werner anampa sana nafasi kuliko Tammy na Giroud. Ana mpango wa kuwauza?Mendy hata benchi hayupo
Tammy asipopambana sidhani kama atapata nafasiNaona Tuchel kaamua kumtupa Cabarello. Last time alikuwa na form kuliko Kepa. Halafu Werner anampa sana nafasi kuliko Tammy na Giroud. Ana mpango wa kuwauza?
Speed na uharaka wa kugeuka unampa advantage. Lakini Tammy na Giroud ni wazuri kwenye kufunga. Bado hawana replacement kwenye wamaliziajiTammy asipopambana sidhani kama atapata nafasi
Werner hata asipofunga anaweza assist hicho ndio kinachompa advantage
Sizitaki mbichi hizi ha haSisi man city tunataka epl na uefa ...
Fa na carabao tumewatuma kina sterling na jesus wachukue ...
Kama wakishindwa basii...
ila the cityzen tunataka UEFA na EPL.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama coaching ndio shida japo kukosa uzoefu ilimuathiri. Nadhani ile rigidity yake iliua morali ya timu.Hivi kweli Frank Lampad alifuzu kozi za ukochi au ni ile ya kujuana tu mbona hi timu ni Zuri sana na intampiga Madrid vizuri tu kwa wachezaji wale wale Big up TT.
1 tuKesho tuwapige goli ngapi wazee..
Hatuna huruma msimu huu ,hatucheki na nyani...