Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie tunawapiga goli 6

Chealsea kumfunga city ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ...
Vinabo wawili mnakutana mmoja kapigwa na manchesta mbovu mwingine kala 5 kwa west brom
 
2011 Messi akiwa takriban karibu na umri wa Pulisic kwenye UCL dhidi ya Real Madrid alifanyiwa rafu 11 zilizoonwa na refa na Jana Pulisic baada ya takriban miaka 10 ya Messi kuvunja hiyo rekodi, alifikisha kiwango hicho cha kushinda mipira ya faul mara 11 zilizoonwa na refa kama Messi wa 2011. Hii kiwango kikubwa sana kwa michuano ya UEFA kwa mchezaji mmoja kuchezewa rafu nyingi kama hizo.
 
Pulisic back to form, je Werner atapata muda wa kutosha ili naye arudishe form yake?
 

Man of the Match: Christian Pulišić (Chelsea)​

Pulišić highlights and reaction
"A very dynamic performance all over the pitch. He was a constant danger to Porto and also had a good defensive mentality."

Cosmin Contra, UEFA Technical Observer
 
Waamuzi sasa wanatakiwa kumlinda sn Pulisic maana anachezewa rafu sn


Yaani ktk rafu 20 za timu nzima walizocheza 11 zilikua kwa Pulisic tu. Hii si sawa kabisa
 
Most semi-final appearances by English teams in the Champions League era:

◉ Chelsea (8)
◎ Man Utd (7)
◎ Liverpool (5)
◎ Arsenal (2)
◎ Man City (1)
◎ Spurs (1)
◎ Leeds (1)

Blue is the colour. [emoji2956]
Arsenal wanatia hurumu hata team zenye thamani kubwa tumewapita alafu wakuja huku wanakujakutupigia kelele
 
Matokeo ya awali
Liverpool vs Real Madrid 0-0 on Agg 1-3 Real Madrid anasonga mbele kwenye nusu finali
Dortmund vs Man City 1-2 on Agg 2-4 Man City anasonga mbele kwenye nusu finali

Nusu Finali itakuwa kama Ifuatavyo
Real Madrid vs Chelsea
PSG vs Man City
 
Dortmund vs Man City FT 1-2
 
Nawakumbusha tu

Liverpool vs Real Madrid 0-0 on Agg 1-3 Real Madrid anasonga mbele kwenye nusu finali
Dortmund vs Man City 1-2 on Agg 2-4 Man City anasonga mbele kwenye nusu finali

Nusu Finali itakuwa kama Ifuatavyo tarehe 27 April and 4 May 2021
Real Madrid vs Chelsea
PSG vs Man City
 
Tarehe 17 Man City vs Chelsea.??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…