Akiwa Chelsea ana matukio machache ila mwishoni alianza kupoteza ile nidhamu yake. Aliuzwa kwenda Kings Power. Ilikuwa ni miaka ya mwishoni mwake Chelsea.Nazungumzia ule utukutu wa ndani ya uwanja km kina Roy Keane. Au kina pepe..yaan ye kutoka na Kadi za njano au nyekundu ni kawaida kwake
Ok Ila now Nimejaribu kumfuatilia Google jamaa alishawahi kufungwa jela miezi 3 na alimpasua pua mchezaji mwenzake wa Leicester mazoezini.....na pia alipokuwa Chelsea alimfanyia fujo mchezaji mmoja wa nyumbu kwenye mechi ya ligiAkiwa Chelsea ana matukio machache ila mwishoni alianza kupoteza ile nidhamu yake. Aliuzwa kwenda Kings Power. Ilikuwa ni miaka ya mwishoni mwake Chelsea.
Ila akiwa Chelsea kama captain hakuwa mtu wa matukio kama akina Paul Gascoine Gazza
True, alikata rufaa kifungo kikafutwa. Mwishoni mwa siku zake Chelsea alipiga hayo matukio. Aliadhibiwa kwa kuvuliwa ukapteni kwa muda.Ok Ila now Nimejaribu kumfuatilia Google jamaa alishawahi kufungwa jela miezi 3 na alimpasua pua mchezaji mwenzake wa Leicester mazoezini.....na pia alipokuwa Chelsea alimfanyia fujo mchezaji mmoja wa nyumbu kwenye mechi ya ligi
Kitambo eti
Lukaku 2011-2014 mechi 10 goli 0Wapi Lukaku?
Yale machezaji ya timu zingine hayajafunga wala kutoa assist?Wachezaji wote wa Chelsea waliocheza jana baina ya England na San Marino walihusika kwenye magoli matano waliofunga England
Ben Chilwell alitoa assist kwa James Ward-Prowse goli la kwanza
Reece James alitoa assist kwa Dominic Calvert Lewin kwa goli la pili
Mason Mount alitoa assist kwa Raheem Sterling kwenye goli la tatu
Naye Kai Havertz kaifungia Ujerumani goli la pili na kuifanya Ujerumani kuifunga Iceland goli 3-0
Asante kwa kutuletea hii habari maana me michuano ya kimataifa sifuatilii sanaWachezaji wote wa Chelsea waliocheza jana baina ya England na San Marino walihusika kwenye magoli matano waliofunga England
Ben Chilwell alitoa assist kwa James Ward-Prowse goli la kwanza
Reece James alitoa assist kwa Dominic Calvert Lewin kwa goli la pili
Mason Mount alitoa assist kwa Raheem Sterling kwenye goli la tatu
Naye Kai Havertz kaifungia Ujerumani goli la pili na kuifanya Ujerumani kuifunga Iceland goli 3-0
Hii ndio sababu kubwa siipendi michuano ya kimataifa
Hizi ndio mambo mie huwa sizipendi