Wote watakuwepo mechi na Westbrom tar 3/4/2021Naona ktk game ijayo na ATM tunawakosa wachezaji wanne tu. Tammy, Silva. Mount na Jorginho.
Wengine wote wapo vzr wa afya njema wanasuniri game...
Hii game tunapita hii tukutane robo finalAtletico wana uwezo wa kutufanyia suprise nyumbani kwetu darajani.
Mmewatapeli Madrid
Tusijipe mahopes sana, Atletico Madrid tangu siku nyingi wana mentality ya kushinda hili kombe hata kama wana timu mbovu, sijui kwa Chelsea kama hawa wachezaji tulionao wana hiyo mentality. Muhimu leo tusiwape wakae na mpiraGame yaleo nyepesi sana tu maana leo chelsea tuna shinda kwakishindo
Nani kakuambia atakuja na huo mfumo? Tuchel ni kocha anaejielewa hawezi kuja na huo mfumoMkicheza 4 2 3 1 hii game mnapigwa
Hamna aliyeniambia. Ni vile naona strength yenu kwa sasa ipo kwenye 3 4 3 zaidi na last game alivyojaribu 4 2 3 1 hamkua vizuri sana.Nani kakuambia atakuja na huo mfumo? Tuchel ni kocha anaejielewa hawezi kuja na huo mfumo
Kwan sisi ndio tunasababisha injury zake?Mmewatapeli Madrid
Ni sahihi mkuu! Maana hawa ATM wana history ya kupindiu matokeo hapo darajani.Tusijipe mahopes sana, Atletico Madrid tangu siku nyingi wana mentality ya kushinda hili kombe hata kama wana timu mbovu, sijui kwa Chelsea kama hawa wachezaji tulionao wana hiyo mentality. Muhimu leo tusiwape wakae na mpira
Mzee naona mmeamua kumuenzi Diego maradona ..Kwa kubaki eneo la No.10 kama jezi yake sioKwakua Atletico hakuna uzi wetu mimi nawaasa mashabiki wenzangu wa Atletico tubanane humuhumu hadi tujue mbivu na mbichi.
Leo ATM anakufa vizuri kabisa kama unabet bet kabisa ule mzigoKwakua Atletico hakuna uzi wetu mimi nawaasa mashabiki wenzangu wa Atletico tubanane humuhumu hadi tujue mbivu na mbichi.
Mnapasuka. Sisi tumemuambia boss awaweke Joao na Luis mbele pale utaona mtu anavyoteleza, yaani mkitutibua sana hata goli hampati.Leo ATM anakufa vizuri kabisa kama unabet bet kabisa ule mzigo