Hawa wakina mama huwa wanakipiga balaa aise..Pamoja na Sophie Ingle kutolewa dakika ya 12 kwa red card na Chelsea kucheza pungufu lakini Chelsea waliendelea kukiputa na kuweza kufunga magoli mawili, moja la penalti na lingine shot on target kutoka nje kidogo ya penalty box
UEFA Women's Champion League
Chelsea 2-0 Atlético Madrid
Mjelde and Kirby Secure Superb Victory
Mnajifariji siyo. Mpigwe tu leo mnatujazia server ya top four.Jamani wale Liverpool tusiwaache aise kesho itabidi wachezee atleast goli tatu plus..
Kama Britohn aliweza kwanini sisi tushindwe?
Kama Manyumbu yalipata akili kidogo tu yakashinda kwanini sisi tulio smart na timu bora kabisa ulaya na dunia kwa ujumla tushindwe..
Alaaaah...
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Liverpool win weka pesa ndefu
Utakuja kunishukuru
AMKAAA MKUUU... MUAMALA WA M-PESA Ushasomeaakaa...Enjoys your Night...usisauu kuwakumbuka Wana wa kitaaa[emoji625]Nimeweka Chelsea asipate goli hata moja, nimetia elfu 60.. nalala nikiamka nataka nione muamala wa M-Pesa umesoma.
AMKAAA MKUUU... MUAMALA WA M-PESA Ushasomeaakaa...Enjoys your Night...usisauu kuwakumbuka Wana wa kitaaa[emoji625]
Tayari 0-1 umeshaliwa kabla hujalalaNimeweka Chelsea asipate goli hata moja, nimetia elfu 60.. nalala nikiamka nataka nione muamala wa M-Pesa umesoma.
Ile Ni goal kabisa sio offside ingekuwa Ni offside Kama usingeguswa mpira na Timo wernerNaona Tuchel amesikia maombi yangu. Liverppol wanaposses vizuri, Azpi anampasia Kante na Kante kwa Mount na kufunga mbele ya Fabinho
Kama sio VAR tungekuwa 2-0 sasa
James si wakutoka yule anakaba ndio maana ule upande Liverpool hawapiti unashindwa kuona hata kwenye Hili mzee.Wa kwanza kumpumzisha awe Jorginho for Kovacic
afuate Ziyech. for Giroid
Halafu James for Odoi