Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kupata matumizi mazuri ya Chillwell ni lazima abadili mfumo kutoka 3-4-3 kuja 4-3-3 kwa nionavyo mimi naona Tuchel hawezi kuuacha huu mfumo wake wa 3-4-3 ambao unamuAccomodate zaidi Alonso kwasababu ndio umempa matokeo toka amefika.
Atarudi kule kule kwa Lampard, rigidity. Amchezeshe na mfumo wake huo. Kwani mazoezini wanafanya kwa mfumo gani?
 
Mbona humu kumekuwa kimya sana leo na tuna mechi au hatujiamini kuwa tanashinda nini?
 
Wakuu naomba mtu mwenye link ya kutazamia mpira huu anisaidie tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…