juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Sijampinga tuchel, tuchel ni mtu sahihi kwetu, nimejaribu kuelezea hali ilivyokuwa based na articles zinavyosemaHivu kocha ana ubora gani mpaka mnamtaja kiasi hicho. Huyo kocha ndio angekuja kufail mara 4 ya Lampard. Ipo siku nitamuelezea kwa undani.
Tuchel ndio mtu sahihi darajani niamini mimi.
LabdaKama rangnick angekubali kama kocha wa mda basi summer tulikuwa tunamchukua Nagelsmann
Duh mkuu nataman umuelezee hata sahvHivu kocha ana ubora gani mpaka mnamtaja kiasi hicho. Huyo kocha ndio angekuja kufail mara 4 ya Lampard. Ipo siku nitamuelezea kwa undani.
Tuchel ndio mtu sahihi darajani niamini mimi.
Kweli kabsa mkuuuHivu kocha ana ubora gani mpaka mnamtaja kiasi hicho. Huyo kocha ndio angekuja kufail mara 4 ya Lampard. Ipo siku nitamuelezea kwa undani.
Tuchel ndio mtu sahihi darajani niamini mimi.
Kwa hiyo Benchmark yako ilikuwa Chelsea???, you are sickHaaaaa kumbe tumewakuta tunalingana points? Siamini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji846][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ilitakiwa siku nyingi kutoka kwa FLThomas Tuchel on Timo Werner:
"We need a good position for him so that he can play a bit between the left wing and the centre forward and we can get him behind the last line there at speed. He just needs confidence and a smile again."
[via Sky Sport DE]
Washika manati wa London 🤣🤣🤣Vibonde wa london point tatu zetu mnazo tukamilishe zile sita msimu huu.#Gunners
Afu mbaya zaidi hiyo hiyo manati waga inakuua,Tukikutana nxt round huyu Tuchel lazima mumfukuze[emoji3][emoji3][emoji1487]Washika manati wa London [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vzr3 Summer signing for Tuchel
- Dayot Upamecano (CB) - Leipzig
- David Alaba (CB, LB) - Bayern Munich
- Erling Haaland (Striker) - Borussia Dortmund
Tuchel tumepigwa wakuu
David Alaba mkataba wake unaisha June 20213 Summer signing for Tuchel
- Dayot Upamecano (CB) - Leipzig
- David Alaba (CB, LB) - Bayern Munich
- Erling Haaland (Striker) - Borussia Dortmund
Vibonde wa london point tatu zetu mnazo tukamilishe zile sita msimu huu.#Gunners