Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Foul ya droga inatoka nje.mpira ni 1-1, tunaenda dk 30 extra time
 
hii ni nzuri...hata bayern akishinda, ashinde kwa kutaabika...bwa ha ha ha ha ha...!
 
Dk 30 za nyögeza zinaanza. Nitagufa na chelsea ndakenda mama!! Uwihhii!
 
I see......

Bayern wakikosa ubingwa wataumia sana.....Itakuwa kama pale Nou Camp mwaka 1999 siku Sam Osei Kufour alipobubujikwa machozi baada ya kunyang'anywa tonge na Man Utd
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…