Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Waingereza wa mamechukia sana sion hatta page ya Chelsea akina Jt ku like wala kukoment du watoto wa malkia wamezoea kudeka sana kunywa maziwa wa kopo na mkate wa siagiMalengo ya msimu huu ilikuwa ni kuchallange ubingwa na si kuitafuta top 4
Leo ndio namuona Alonso Lampard sijui alimuwekaga chimbo gani
Mkuu lembu uko upande gani? Kwani ofsa lampad atapata timu nyingine we utamfata Tuchel muache nae afundishe anachowezaMimi nilipenda Lampard angevumiliwa hadi mwisho wa msimu na kama katupa top 4 au UEFA apewe msimu mwingine ili azoee EPL ila pia FL kufukuzwa ilikuwa ni lazima, kocha ukishaingia kwenye mgogoro na wachezaji usio na tija na timu hakuna njia nyingine ni sacking tu.
Mount ni mtoto wa malkia hata asipo tabasamu atajua mwenyewe atachekeshwa tu na atatabasamishwa tuJamaa kashaanza kuwapigisha tizi vijana ila inasemeka mount hajaonekana hata akitabasamu kipindi chote cha tizi wakati huo joginho akionekana kufurahi Sana pamoja na kepa[emoji23][emoji23]View attachment 1686997
Media zinadai kuwa Pulisic alikuwa anafanya vizuri sana alipokuwa chini ya Tuchel pale Dotmund
Kubali tu kuwa hapo umechemsha mkuu, timu ambayo ndio kwanza iko assembled ichalenge ubingwa?Malengo ya msimu huu ilikuwa ni kuchallange ubingwa na si kuitafuta top 4
Soma umuelewe mwenzako kwanzaMkuu lembu uko upande gani? Kwani ofsa lampad atapata timu nyingine we utamfata Tuchel muache nae afundishe anachoweza
Hapa ndipo mnaanza kufeli. Umeshapoteza mechi 6 na hiyo ni nusu ya mechi zote. Ukimalizia nusu nyingine na bado umebadili kocha hata kwa miujiza gani haiweZi kutokea.Wazee tuanze kuongelea ubingwa Sasa mzee baba Tuchel nasikia katua pale london mjini[emoji16][emoji16]
Mkuu ulipotea mazima ni Lampard kakupoteza nini?Waow.. Happy New Year
Mkuu nilipata changamoto ya simu tar 28/12 na hata niliporudi nikaona ngoja nijiweke pembeni. Ila tuko pamoja nawafuatilia chini chini kwa sasa comments zitakua chache maana majukumu yanabana kwa sasa.Mkuu ulipotea mazima ni Lampard kakupoteza nini?
Naona umekuwa msemaji mkuu wa habar zote za porojo kuhusu Chelsea mkuu?
Sahiv lampard ashaanza kupigiwa chapuo la kwenda celtic[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu lembu uko upande gani? Kwani ofsa lampad atapata timu nyingine we utamfata Tuchel muache nae afundishe anachoweza
Inabidi akijue hichi kitu kwa chelsea kocha kubadilishwa ni kitu cha kawaidaMount ni mtoto wa malkia hata asipo tabasamu atajua mwenyewe atachekeshwa tu na atatabasamishwa tu
Ukisoma article nyingi + statement ya club kuhus lampard kufukuzwa utaona kuwa msim huu ilikuwa ni kuchallange ubingwa na kupunguza gap lililopo kati yetu na city na liverpoolKubali tu kuwa hapo umechemsha mkuu, timu ambayo ndio kwanza iko assembled ichalenge ubingwa?
Hiyo ya pili ndio sahihi, kupunguza gap na sio kuchalenge. Sio watu wa media ndio wanaweka malengo. Ni bodi inayosimamia klabu. Huwezi kuchalenge ubingwa wakati una timu ya academy na wachezaji wengi wapya hadi wazoeane na wazoee ligi. Msimu wa 2022 ndio msimu muafaka wa kuchallenge ubingwa. Alichoboa Lampard mpaka akafukuzwa ni hayo matumaini ya top 4 yalishaanza kupotea kwa sababu ya kushindwa kubadilika na kuelewana na wachezaji. Ila angefight akapata matokeo ya kumbakiza kwenye top 4 wala asingetimuliwa.Ukisoma article nyingi + statement ya club kuhus lampard kufukuzwa utaona kuwa msim huu ilikuwa ni kuchallange ubingwa na kupunguza gap lililopo kati yetu na city na liverpool
| Chelsea's past eight Premier League results | ||
|---|---|---|
| Date | Score | Result |
| 12 December | Everton 1-0 Chelsea | L |
| 15 December | Wolves 2-1 Chelsea | L |
| 21 December | Chelsea 3-0 West Ham | W |
| 26 December | Arsenal 3-1 Chelsea | L |
| 28 December | Chelsea 1-1 Aston Villa | D |
| 3 January | Chelsea 1-3 Man City | L |
| 16 January | Fulham 0-1 Chelsea | W |
| 19 January | Leicester 2-0 Chelsea | L |